huyu kilaza labda asubiri mashindano ya kuiba wake za watu,kuvalisha mbwa bendera za vyama pinzani na kuundia watu kesi za uongo
sasa kumbe watu mnapenda kuongopewa eeh! manake mimi ni miongoni mwa watu ambao niliwah kusema mnyika anataka kudumaa kisaisa kwa hli jimbo. na wakati nasema nilionekana niviroba lkn wachambuzi wa siasa walisema ni kweli.hatuwez kumtegemea amalize haya yote kwa mara mja ila kule alikofanya apewe hongera zake na siyo kuonekana kana kwamba hajatend kabisa.
Swali lako lingepata "mashiko"zaidi iwapo ungelielekeza kwa wasimamizi wa kodi zetu na wakopaji kwa NIABA yetu.Barabara Kilungule vipi?
Watu wakiacha ushabiki na kumueleza ukweli ataweza, manispaa ya Kinondoni ikisimamiwi vizuri na uwezo wa mbunge kuelekeza mapato kwenye kuwaletea maendeleo wananchi inawezekana. Nimeona Kigoma kaskazini ilivyowezekana.
hilo nalijua kabisa tatzo ni kwamba yeye ni mbunge na watendaji kama wakurugenzi ni chama oriented unaategemea wamsaidie katika haya ili mwishoni chama kishindwe?.
Barabara za Kilungule ni dhoflihali! Bonyokwa hakuendeki, King'ong'o hakuna njia, Ubungo Kibangu shida!
sasa kumbe watu mnapenda kuongopewa eeh! manake mimi ni miongoni mwa watu ambao niliwah kusema mnyika anataka kudumaa kisaisa kwa hli jimbo. na wakati nasema nilionekana niviroba lkn wachambuzi wa siasa walisema ni kweli.hatuwez kumtegemea amalize haya yote kwa mara mja ila kule alikofanya apewe hongera zake na siyo kuonekana kana kwamba hajatend kabisa.
Mimi namuamini Mnyika kwa hoja zake lakini angekuwa mbunge wa Taifa (Zamani walikuwepo hawa/Viti maalum) na si mbunge wa jimbo hasa jimbo lenyewe Ubungo! Mnyika anafanya vyema sana Bungeni kwa hoja zake (kasoro alipojichanganya na kumudhihaki Rais) zenye masilahi kwa nchi lakini ukirudi kwa waliompeleka huko Bungeni hali ni tete! Ana Madiwani wengi Jimboni lakini naona madiwani nao wameanza kuchoka; siku hizi simuoni Diwani Manota. Nilidhani alipopata gari angekuwa anawatembelea wapiga kura wake kumbe afadhali wakati ule ana pikipiki!
Huyu ndiye mrithi halali wa Mbowe na Slaa.
Acha uvivu wa kusoma na kutafiti. Hiyo michango na maswali anayouliza Mnyika humo Bungeni huelekezwa kwa serikali. Sasa, usingekuwa mvivu ungegundua serikali imeambiwa mangapi ya Ubungo na huyu Mnyika kuliko wale wanaoenda kusinzia bungeni hadi wanataka TV zipigwe marufuku bungeni.
Acha wewe. wewe umetafiti nini? Amesema nini kuhusu Ubungo? Jimboni Mnyika ni mtupu mimi nalijua hilo kwa kuwa Mnyika ni Mbunge wangu. Mimi nimewahi kusema hapa Mnyika aitumie Ilani ya CCM kuwakandamiza sijui hataki kuisoma? Sijasikia akiwakumbusha watekeleze ahadi lukuki za barabara za jimboni Ubungo. Akisimamia hilo na barabara zile zikatengenezwa mbona atapeta tu mwaka 2015 lakini kinyume na hapo huenda akausikia Ubunge kwenye Bomba. Nyie mdanganyeni mkidhani mnamsaidia kumbe mnampoteza ati kinara; kinara wakati jimbo lake hali inatisha? wewe umewahi kupita barabara ya Kimara Mwisho kuelekea Kisukuru/segerea? Hali inatisha. Unaijua Bonyokwa wewe, Golani je, unaifahamu Kibangu ama King'ong'o au Kilungule. Utadhani hawakupiga kura hawa.
Najua hana pesa za kuleta maji wala barabara lakini hata kelele na kuwahamasisha watu wake. Mnyika ahamasishe tu barabara zile hazihitaji pesa nyingi na watu wa kule hawana makuu wewe pata grader la manispaa watajaza mafuta lichonge barabara. Awahakikishie watu kwamba atawaletea grader la manispaa waao wajitolee mafuta watu watatoa hela za mafuta na barabara zitachongwa; watu wa huko hawalalilii lami wao wanataka passability tu.
hata mimi naamini hivyo, jamaa ana uwezo mkubwa sana huyu JJ Mnyika
Mnyika anahitaji marafiki kama wewe Kimbunga, wengi wa wanaomzunguka ni washabiki na si marafiki.