Ushasema hujui nini kimeungua, unachojua ni "probably" CPU au sehemu ya motherboard. Kwa hiyo usishauri laptop itupwe, hujui! Hiyo sehemu ya motherboard inaweza kuwa kitu kidogo sana kinachorekebishika, hujui. Ikifunguliwa inaweza kujulikana, hatujui. Na inawezekana hana hela ya ziada ya kununua laptop, ana nguvu ya kuangalia uwezekano wa kukarabati, hujui.Impossible kujua nini kimeungua, ila probably CPU au sehemu ya motherboard, sidhani kama vinalipa kutengeneza kwenye laptop, bora kununua mpya. Harddrive probably itakuwa ok, so data utazipata.
Ni muhimu kuweka laptop kwenye kitu solid, kama kitabu au magazineukiwa kitandani maana mashuka yanaziba matundu ya hewa.
Nilikuwa natumia laptop ''TOSHIBA SATELLITE'' ila kosa nililokuwa nafanya nilikuwa naacha kitandani ikiwa sijazima,ingawa siyo kila mara nikiacha.Siku moja ikazimika na haikuwa tena na ikawa inatoa harufu ya kuugua sehemu za kuchomekea headphones,tangu imezimika nikiiwasha inawaka inaonyesha tu mwanga na haikai hata sekunde 10 halafu inazimika yenyewe.Nisaidieni nijue tatizo na nini kimeungua,au kama imeungua/kufa mazima kabla sijapeleka kwa fundi.