Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,405
Inakuhusu ni maoni yako tu haijalishi unakaa kwa mama au kwakoMimi nakaa kwa mama hii hainihusu😂
Ni uzembe wa CCMInakuhusu ni maoni yako tu haijalishi unakaa kwa mama au kwako
Vingine mnaisingizia ccm bureNi uzembe wa CCM
Fashion inawatesa watu, mafundi wetu bado kuna mahala wanafeli kwenye fashion hii.Ni fashion tu
Nachokiona kwa hapa tatizo ni 2 na 4Sio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.
Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabombavya inch 4 eti yavune maji yote?
1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum
Unategemea isivuje?
Naomba link ya hao mafundi mkuu, maana kuna kakibanda ka wapangaji nafikiria nitumie hii design ili kuokoa gharama. Shida niliskia hizi habar za maji kuingia nikaanza kughairiWewe umepaua vip mkuu.hizo ukitaka hasa kuziwezea nakushaur weka slope moja usifunike upande mmoja
Kwenye joint ya bat na ukuta kuna jamaa wapo insta siku hizi wanafanya metal flashing.ukiweka hio kuvuja inaanzaje?
Naomba username ya ac yao insta au linkpage yaoWewe umepaua vip mkuu.hizo ukitaka hasa kuziwezea nakushaur weka slope moja usifunike upande mmoja
Kwenye joint ya bat na ukuta kuna jamaa wapo insta siku hizi wanafanya metal flashing.ukiweka hio kuvuja inaanzaje?
😂 kuna vuja kweli, kuna fremu za biashara nazo zinavuja mno kama ulivyoelezaKuna video nimeiona tiktok , [emoji23][emoji23][emoji23]ndani panavuja kama upo nje vile.
Mkuu unatafuta vita, utaiweza?Fundi mwenyewe mfupi na mnenekama GENTAMYCINE unadhani atajenga vizuri kweli.
Ile kibokoKuna video nimeiona tiktok , [emoji23][emoji23][emoji23]ndani panavuja kama upo nje vile.
Naona pia kuna changamoto ya kulimaliza tatizo jumla, maana haiwezekani mwezi uliopita fundi aje kufanya marekebisho halafu baada ya mwezi hali iwe ile ile tena.KUBWA UKIACHA KUWA NA MVUTO ILA NASIKIA UJENZI HUO UNAPUNGUZA GHARAMA SANA.
NI UJENZI ULIOCHIPUKIA KWA KASI MIAKA HII LAZIMA UWE NA CHANGAMOTO KAMA HIZO HASA KWA KUWA MAFUNDI PIA NDIYO WANAJIFUNZA.
HII HAINA TOFAUTI NA KUPAUA ILE PAA LINAKUWA REFU SANA NI MITINDO YA SASA ILA NDIYO HIVYO INA KUJA NA ATHARI ZAKE.
Hebu iweke hapa wengine hatuna tiktokKuna video nimeiona tiktok , [emoji23][emoji23][emoji23]ndani panavuja kama upo nje vile.