UMUGHAKA wa baghakaNisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!
Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa sisemi tu lakini huwa nimipakuliwa naishia kula vijiko vizisivyozidi 2,yaani mdomoni nitauweka lakini kooni hautopita kabisa!
Sijajua wenzangu mnawezaje kula wali!
Yawezekana nikaonekana mshamba lakini kiukweli nakiri hadharani kabisa wali ni chakula ambacho kimenishinda!
Yaani uminiwekea hata wali uliojaa kikombe na ukaniwekea Tsh 1 m nikimaliza nichukue hiyo pesa,kiukweli sitomaliza!
Nimekuwa nikimuuliza Bi mkubwa wakati nikiwa mdogo Hali ilikuwaje,aliniambia nilikuwa nikiona wali kwenye sahani namwaga chini Kisha naufinya finya!
Huwa nikiona mwanaume anakula wali namshangaa sana,pia na wao wananishangaa Mimi Kwa kutokula wali!
Sote tunashangaana!
Wali???Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Afu uliwe kwenye kisinia na mkono mixer kujilamba😋😋Bro unajua wali Mharage?
Aliyezowea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!
Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa sisemi tu lakini huwa nimipakuliwa naishia kula vijiko vizisivyozidi 2,yaani mdomoni nitauweka lakini kooni hautopita kabisa!
Sijajua wenzangu mnawezaje kula wali!
Yawezekana nikaonekana mshamba lakini kiukweli nakiri hadharani kabisa wali ni chakula ambacho kimenishinda!
Yaani uminiwekea hata wali uliojaa kikombe na ukaniwekea Tsh 1 m nikimaliza nichukue hiyo pesa,kiukweli sitomaliza!
Nimekuwa nikimuuliza Bi mkubwa wakati nikiwa mdogo Hali ilikuwaje,aliniambia nilikuwa nikiona wali kwenye sahani namwaga chini Kisha naufinya finya!
Huwa nikiona mwanaume anakula wali namshangaa sana,pia na wao wananishangaa Mimi Kwa kutokula wali!
Sote tunashangaana!
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Kuna uhusiano gani kati ya kula wali na jinsia? Au punje za mchele unaziona kama shanga?Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!
Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa sisemi tu lakini huwa nimipakuliwa naishia kula vijiko vizisivyozidi 2,yaani mdomoni nitauweka lakini kooni hautopita kabisa!
Sijajua wenzangu mnawezaje kula wali!
Yawezekana nikaonekana mshamba lakini kiukweli nakiri hadharani kabisa wali ni chakula ambacho kimenishinda!
Yaani uminiwekea hata wali uliojaa kikombe na ukaniwekea Tsh 1 m nikimaliza nichukue hiyo pesa,kiukweli sitomaliza!
Nimekuwa nikimuuliza Bi mkubwa wakati nikiwa mdogo Hali ilikuwaje,aliniambia nilikuwa nikiona wali kwenye sahani namwaga chini Kisha naufinya finya!
Huwa nikiona mwanaume anakula wali namshangaa sana,pia na wao wananishangaa Mimi Kwa kutokula wali!
Sote tunashangaana!
Inawezekana dhahiri shahiri Bado hujakutana na Punje lililo nyooka la kwenye msibaNisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!
Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa sisemi tu lakini huwa nimipakuliwa naishia kula vijiko vizisivyozidi 2,yaani mdomoni nitauweka lakini kooni hautopita kabisa!
Sijajua wenzangu mnawezaje kula wali!
Yawezekana nikaonekana mshamba lakini kiukweli nakiri hadharani kabisa wali ni chakula ambacho kimenishinda!
Yaani uminiwekea hata wali uliojaa kikombe na ukaniwekea Tsh 1 m nikimaliza nichukue hiyo pesa,kiukweli sitomaliza!
Nimekuwa nikimuuliza Bi mkubwa wakati nikiwa mdogo Hali ilikuwaje,aliniambia nilikuwa nikiona wali kwenye sahani namwaga chini Kisha naufinya finya!
Huwa nikiona mwanaume anakula wali namshangaa sana,pia na wao wananishangaa Mimi Kwa kutokula wali!
Sote tunashangaana!
Nadhani hii ni aina ya riwaya katika mwendelezo wa simulizi zako.Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda!
Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa sisemi tu lakini huwa nimipakuliwa naishia kula vijiko vizisivyozidi 2,yaani mdomoni nitauweka lakini kooni hautopita kabisa!
Sijajua wenzangu mnawezaje kula wali!
Yawezekana nikaonekana mshamba lakini kiukweli nakiri hadharani kabisa wali ni chakula ambacho kimenishinda!
Yaani uminiwekea hata wali uliojaa kikombe na ukaniwekea Tsh 1 m nikimaliza nichukue hiyo pesa,kiukweli sitomaliza!
Nimekuwa nikimuuliza Bi mkubwa wakati nikiwa mdogo Hali ilikuwaje,aliniambia nilikuwa nikiona wali kwenye sahani namwaga chini Kisha naufinya finya!
Huwa nikiona mwanaume anakula wali namshangaa sana,pia na wao wananishangaa Mimi Kwa kutokula wali!
Sote tunashangaana!
Hili neno linatafsiri mbofu mbofu sana, wee haujui tu, tena sasa unalisema hadharani kwenye kadamnasi!Mwanaume wa wanaume!
Atajuaje? Ikiwa wali tu unamshinda? Kiswahili kigumuHili neno linatafsiri mbofu mbofu sana, wee haujui tu.