ingawa ujumbe wako mfupi, ila ukweli unauma ikizingatiwa uhamiaji kwenyewe ni gombania goli, nafasi moja mnashindania watu 5. baada ya mtu kufanya mambo yake kumwomba mungu amsaidie anajipa presha bure hata mezani ajaitwa, eti anataka kuwa inspecta. inspecta hutakiwi kuwa mapepemapepe
Me nilisema hizi nafasi zina watu sasa Leo narudia tena kuna vijana wanne wanasubiri kwenda kazini kwa kuwa baba yao Mkubwa amawaambia. Kwamba wao nafasi zao zipo wajipange kufanya kazi mazingira yoyote