Mnapopendwa pendekeni

Wanawake wa KLM huwa wanabehave kama midume ndomana uligombana nae .hila hapa utakanusha kwamba hakuwa wa KLM ili uwatetee dada zako
 
Kama hilo ni lengo lako then start acting like a real gentleman...

Wanaume wanaotarajia kuoa huwa wanawashape wake zao watarajiwa na sio wanalalama na kuanza kukimbilia kuwatangaza...

Nimeandika kwa ufupi, hopefully utaelewa...

nimekuelewa mkuu, na ndiyo maana kuna sehemu nimesema kuwa "nitadeal naye" na dhumuni la kuleta humu ni kwa ajili ya ku expose feelings za ujumla tulizonano wanaume kwa hawa wadada, ili wajirekebishe, kujua kiburi hakina nafasi katika mahusiano.
 
Wanawake wa KLM huwa wanabehave kama midume ndomana uligombana nae .hila hapa utakanusha kwamba hakuwa wa KLM ili uwatetee dada zako

kwakuwa umeniwahi, basi sikani ni kweli alikuwa wa KLM, ila kupooza hili kila mtu siku hizi anakasumba aisee,maana nilishakuwa na mchaga mwingine alikuwa mpole sana, na bahati nzuri nimeshakaa na makabila mbalimbali hapa Tz matatizo ni yale yale aisee maana nimekaa mikoani kama Iringa, mbeya, ruvuma, tbr, mwanza, dsm, dom etc so matatizo bana siku hizi ni mtu mwenyewe tu wala siyo kabila.
 
Mpaka unaona anaanzisha Sred jua yametimia. Kwa hiyo uwanja ni wako tunasubiri pilau nasi tuponee hapo maana mwenzetu atakuwa anafaidi nini vile k

Hahahaa mkuu acha uchochezi bado hajamzingua
 
Hahahaa mkuu acha uchochezi bado hajamzingua
Kumbe jamaa kasema ukweli kuwa nyie akinadada ukipendwa pendeka. Unaona hata wewe unaanza kuzingua! Jimwage na sie tupate mnuso wa haja. Huyu jamaa anatafuta wife material kama wewe. Jaribu uone == mtama kwa watoto
 
Akikuzingua na huyo njoo kwangu Chagga King

...tatizo michaga pure, unatiweza??, maana naskiaga tunaambiwa kuwa sisi wachaga hatujui mavituz, mi muda mwingi nawaza hela tu, labda nitamfikiria miss chagga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…