Mnaotumia barabara ya New Bagamoyo Road

Mnaotumia barabara ya New Bagamoyo Road

Joined
Apr 30, 2013
Posts
93
Reaction score
19
Wakuu mnaotumia barabara ya new bagamoyo road leo jihadharini msitanue barabarani traffic wamejazana kibao kwa wanaotanua na wameshakula mpunga kutosha
 
barabara ya new bagamoyo
road
 
Duuu aiseeee nimeputa sasa hivi wamekamata magari zaidi ya 20 jihadharini
 
Waje kila siku. Maana leo nimechelewa kutoka home lakini nimewahi kazini, foleni inakimbia safi sana.
 
Back
Top Bottom