Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
Yani upite njia za panya, Alafu utegemee ukifika U. S. A, ule maisha ?? π€π€MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.
Kuingia Ni simple sana wengi walikuwa ila Wengi wakaishia Kuwa Homeless..Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.
Process za kutoka bongo direct to USA πΊπΈ ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA πΊπΈ
Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na passport yako tu mkononi kama unavyoenda Kenya na Burundi tu hawama mambo mengi sijui wakuhoji nn amna
The distance in mile from Bahamas mpaka Miami Florida kwa upande wa marekani ni almost mile 25 tu ni kama dar to chalinze.
Pale Bahamas utawakuta wajuba kutoka Mexico Wana boti zao unatoa kama dollar 500 ivi wanakuvusha kwa boti kimagendo lakini, ukifika tu pale mwambaoni wanawamwageni afu nyie mnakimbilia lami barabarani tayari uko ndani ya USA πΊπΈ.
MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.
N. B. more is lost by indecision than by wrong decisions.
Juzi tu kanitumia $2300 kwa worldremitMkuu,
π
Mwambie brother wako akumbuke kurudi huku na dollars tujenge uchumi wa TZ
Mm sio mwalimuwe umeupenda ualimu hutaki kuzamia
Yani acha tu mkuu, ukijirisk unatoboa"Yupo newyork anakula maisha"...
It's soo funny π
Ww mtoto wa mama kaushaYani upite njia za panya, Alafu utegemee ukifika U. S. A, ule maisha ?? π€π€
Ukifika USA πΊπΈ kazi za kumwaga tu broo, usitegemee kazi ikufate apo kwa Bibi ako, ukishafika USA Kuna wakongwe wanakupa njia za kupata makaratasiKazi amepataje anakula bata
Mkuu mm sio mwalimu nitakushtakNilikuja mbio kumbe uzi wa mwalimu.
Aisee hebu beba kishkwambi uende ukaite majina.
Kabisa yaniKuingia Ni simple sana wengi walikuwa ila Wengi wakaishia Kuwa Homeless..
Kwa sababu ya kutokuwa Na Mipango..
Nchi za wenzetu ambao ni visa free lazima wajue una kiasi gan kwenye account Cha ku spend ndan ya nchi Yao so it is possible but it is not easy
Then lazima ukate ticket ya kwenda na kurudi so it is expensive as well
Heb chukulia mfano wa Singapore ni free visa for tanzanian passport holder but you must have at least 1500$ in your account during your entry at the airport
Wacha mabo za round flight tickets ( go& return)
Play your cards well
Ni ww tu utakavyojiamn, Kuna watu walitoka hawana Ata pesa Ila walifika na wametoboaNchi za wenzetu ambao ni visa free lazima wajue una kiasi gan kwenye account Cha ku spend ndan ya nchi Yao so it is possible but it is not easy
Then lazima ukate ticket ya kwenda na kurudi so it is expensive as well
Heb chukulia mfano wa Singapore ni free visa for tanzanian passport holder but you must have at least 1500$ in your account during your entry at the airport
Wacha mabo za round flight tickets ( go& return)
Play your cards well