Mnaojipendekeza kwa waisrael hasa wanyarwanda israel haiwatambui

KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
2,477
2,360
Swahili radio tehran katika kurasa wake wa fb majira ya saa 21:18 march 30/ 2014 imeripoti wakimbizi na wafanyakazi wenye asili ya afrika hasa ethopia na elitrea wananyanyaswa sana na serikali ya waisrael na waliandamana leo kupinga hali hiyo kwani wanawekwa mahabusu hadi mwaka mmoja bila ya kupelekwa mahakamani. je nyie wanyarwanda wabantu na weusi tii kama mimi udugu wenu na waisrael upo wapi? kama wahabeshi tu wa elitrea na ethepia mnao sema wanaundugu na israel wanafanyiwa vile je itakuwaje kwenu nyie?
 
Pigania wasichana wanaotoka humu kwenda uarabuni kufanya kazi za ndani. Hakuna nishahara ni kulazimishwa kutoa 0713
 
......Chuki zako dhidi ya Israel ziishie huko huko mnapofundishwa chuki na kujazwa ujinga kichwani. Unatoa mifano ya mbali kuhusu Israel wakati mifano ya karibu hapa nchini kwetu ipo.

Hivi ni watu wangapi tena Watanzania wanawekwa rumande bila ya mashtaka kwa zaidi ya mwaka mmoja? au unataka kujifanya haya ya hapa huyaoni? Kutokana na taarifa yako inabidi tuanze kuichukia serikali yetu inayowaweka Watanzania wenzetu ndani kwa muda mrefu kabla ya kuangalia huko mbali.

Ni wema gani wanaoufanya hao Waarabu kwenu hadi mjifanye kushabikia hiyo taarifa ya Wairan, hao jamaa wanajihami na kichapo kutoka kwa Israel na muda si mrefu watakipata. Mbona hulaumu nchi za kiarabu ambapo dada zenu wanaenda kufanywa watumishi wa ndani na kisha kulazimishwa kuliwa "0713"?

Wanaoshabikia Israel na mnaoshabikia Waarabu wote hamjitambui mnasumbuliwa na utumwa wa kimawazo.
 
Hapo mkuu tatizo si rangi, tatizo ni jinsi gani wameingia katika nchi hiyo, kumbuka hata Tanzania Wasomari, waethiopia wengi wanakamatwa kila baada ya muda kwa kuingia nchini bila kufuata utaratibu wa VISA na Paspoti:A S 465:
 
Sikujua kwamba wanyarwanda ni waisrael. Hiyo dna test ilifanyika wapi na lini?
 
Jamani wale ni wakimbizi wa vita na njaa pia wengine wana vibali vya kuishi huko.je wale wabantu wenzangu wa kitutsi wanaosema kuwa wao wanaaundugu wa damu na waisrael itakuaje maana wale wahabeshi ni machotara wanabaguliwa je hao weusi tii kama mimi atakujali nani maana hata ubalozi tu kakataa kuweka rwanda.
 
Eti wanadai tohara iliyokuwa inafanywa na waisrael ilikuwa ni kujiweka safi ili kumsogelea Mungu lakini ile inayofanywa na waafrica toka enzi na enzi haina uhusiano na Mungu.

wajinga sana hawa jamaa na dini zao walizotuletea.
 
......Chuki zako dhidi ya Israel ziishie huko huko mnapofundishwa chuki na kujazwa ujinga kichwani. Unatoa mifano ya mbali kuhusu Israel wakati mifano ya karibu hapa nchini kwetu ipo.

Hivi ni watu wangapi tena Watanzania wanawekwa rumande bila ya mashtaka kwa zaidi ya mwaka mmoja? au unataka kujifanya haya ya hapa huyaoni? Kutokana na taarifa yako inabidi tuanze kuichukia serikali yetu inayowaweka Watanzania wenzetu ndani kwa muda mrefu kabla ya kuangalia huko mbali.

Ni wema gani wanaoufanya hao Waarabu kwenu hadi mjifanye kushabikia hiyo taarifa ya Wairan, hao jamaa wanajihami na kichapo kutoka kwa Israel na muda si mrefu watakipata. Mbona hulaumu nchi za kiarabu ambapo dada zenu wanaenda kufanywa watumishi wa ndani na kisha kulazimishwa kuliwa "0713"?

Wanaoshabikia Israel na mnaoshabikia Waarabu wote hamjitambui mnasumbuliwa na utumwa wa kimawazo.

mbona hata huku arabuni watu wakuja wanapigwa kuna bandiko liliwekwa humu ikionyesha jinsi waafrica wanavyopata tabu huko arabuni wanapigwa na kuwekwa ndani.
 
......Chuki zako dhidi ya Israel ziishie huko huko mnapofundishwa chuki na kujazwa ujinga kichwani. Unatoa mifano ya mbali kuhusu Israel wakati mifano ya karibu hapa nchini kwetu ipo.

Hivi ni watu wangapi tena Watanzania wanawekwa rumande bila ya mashtaka kwa zaidi ya mwaka mmoja? au unataka kujifanya haya ya hapa huyaoni? Kutokana na taarifa yako inabidi tuanze kuichukia serikali yetu inayowaweka Watanzania wenzetu ndani kwa muda mrefu kabla ya kuangalia huko mbali.

Ni wema gani wanaoufanya hao Waarabu kwenu hadi mjifanye kushabikia hiyo taarifa ya Wairan, hao jamaa wanajihami na kichapo kutoka kwa Israel na muda si mrefu watakipata. Mbona hulaumu nchi za kiarabu ambapo dada zenu wanaenda kufanywa watumishi wa ndani na kisha kulazimishwa kuliwa "0713"?

Wanaoshabikia Israel na mnaoshabikia Waarabu wote hamjitambui mnasumbuliwa na utumwa wa kimawazo.

Kumbe hata wewe hujitambui make naona umeshabikia vya kutosha Israel!!!
 
Swahili radio tehran katika kurasa wake wa fb majira ya saa 21:18 march 30/ 2014 imeripoti wakimbizi na wafanyakazi wenye asili ya afrika hasa ethopia na elitrea wananyanyaswa sana na serikali ya waisrael na waliandamana leo kupinga hali hiyo kwani wanawekwa mahabusu hadi mwaka mmoja bila ya kupelekwa mahakamani. je nyie wanyarwanda wabantu na weusi tii kama mimi udugu wenu na waisrael upo wapi? kama wahabeshi tu wa elitrea na ethepia mnao sema wanaundugu na israel wanafanyiwa vile je itakuwaje kwenu nyie?

You're a Typical Dunce.
 
wanyarwanda upo juu kwa misifa ya kijinga kama wale ndugu zetu wa kagera
 
Utamaduni wa Israel ni kutahiri tangia zamani, utamaduni wa ki-tutsi ni kutokutahiri tangia zamani....sasa waweza kutafuta cultural traces za kijamii kwa milinganisho ya maisha na tamaduni zao....ni mawazo tu. Tujue wenzetu wanatumia mbinu yoyote ile maadamu itafaa kwa divide and rule na hii ya wengine kuzaliwa watawala huku wakipora mali ya Kongo na kuwapatia weupe inaonekana kufaa sana. Rwanda, Burundi, Zambia, Tanzania, Uganda, Kenya, Southern Sudan, Congo Brazaville, Central Africa na Angola zote ni corridoh tu za mabwana wakubwa hawa kukamata mali ya DRC...lakini eti kuna uhusiano wa damu na jamaa wale ni kanuni ya divide and rule tusijevimba vichwa badala ya kufanya kazi kuleta maendeleo yetu.
 
Swahili radio tehran katika kurasa wake wa fb majira ya saa 21:18 march 30/ 2014 imeripoti wakimbizi na wafanyakazi wenye asili ya afrika hasa ethopia na elitrea wananyanyaswa sana na serikali ya waisrael na waliandamana leo kupinga hali hiyo kwani wanawekwa mahabusu hadi mwaka mmoja bila ya kupelekwa mahakamani. je nyie wanyarwanda wabantu na weusi tii kama mimi udugu wenu na waisrael upo wapi? kama wahabeshi tu wa elitrea na ethepia mnao sema wanaundugu na israel wanafanyiwa vile je itakuwaje kwenu nyie?

ni kweli ndugu hata waarabu wanaotorosha watoto na kwenda kula 0713, ni wema sana! Nimesoma MSC yangu uarabuni waarabu wanazungumza kiarabu ili nisiwasikie discussions. ukienda hoteli kubwa hawakuhudumii eti wewe mwafrica.
 
Heri yako wewe unatambuliwa Tehran. Mwezi wa kumrushia mawe shetani unaletewa nyama za kondoo na tende, basi mwenyewe unajiona wa maaaaaaana, nyama we!
 
Swahili radio tehran katika kurasa wake wa fb majira ya saa 21:18 march 30/ 2014 imeripoti wakimbizi na wafanyakazi wenye asili ya afrika hasa ethopia na elitrea wananyanyaswa sana na serikali ya waisrael na waliandamana leo kupinga hali hiyo kwani wanawekwa mahabusu hadi mwaka mmoja bila ya kupelekwa mahakamani. je nyie wanyarwanda wabantu na weusi tii kama mimi udugu wenu na waisrael upo wapi? kama wahabeshi tu wa elitrea na ethepia mnao sema wanaundugu na israel wanafanyiwa vile je itakuwaje kwenu nyie?
Hao unaowasema hawana udugu na serikali ya Israel bali ni uzao wa Ibrahim kama alivyo Israel na babaye Isaka kwa njia ya Imani juu ya Mungu. kwani wewe hujaona wazaliwa wa mama mmoja baba mmoja wakigombana? Usishangae ubaguzi upo kila mahala, mti wenye maembe bora ndio unaorushiwa mawe mengi zaidi
 
Watu wavivu wa kufikiri utawajua tu mbantu na jews wapi na wapi acha kudanganya na hadithi za kusadikika hizo mwafrika mweusi kwake afrika tu ukionekana ulaya na arabuni ni muhamiaji tu na unaonekana kituko. Kamuulize p.funk yule chotara wa kihispania na kiafrika yaliyomkuta hispania. Achana kabisa na kujipendekeza kwa wazungu na waarab.
 
Back
Top Bottom