Mnaoitetea serikali haramu hamna akili kabisa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,564
Jitu linatetea utawala huu haramu at the same linawasha vpn ili liingie jf na X
Si serikali yenu ni nzur na haina makandokando na anaupiga mwingi?sasa kwanini mnatumia vpn kuja jf kuweka mapambio ya kumsifu Samia?

Kitu ambacho misukule ya Kizimkazi haifahamu ni kuwa tunachokipambania ni kwa faida yao wao na kizazi chao,kwa mfano sahv hao hao machawa inawabidi wawashe vpn ili waaacess jf na X
 
1. Kila mtu aendelee kuamini cha upande wake, mwisho siku atakaonekana yupo sahihi atafuatwa

2. Mm naiona tecdema na wanaharakati uchwara kama haramu, lakini sijaona uharamu wa serikali hii

3. kilichofeli na kuanguka ni mapinduzi uchwara
-yangefanyika maandamano halafu watu wakala misumari kwenye maandamano ndo ningeona uharamu wa hii serikali, lakini sasa waliokula misumari ni vibaka na wahuni wavurugu, na kwa bahati mbaya na wale waliokuwa sehemu ya vurugu, kumbuka msumari na vurugu havina macho.

NITAITETEA SERIKALI HALALI YA JMT HADI TONE LA MWISHO

vipi umempelekea lissu chakula leo ili kesho asije anza kulia lia na kutia huruma?
 
Unaitetea serikali haramu at the same unateseka kama sisi tu humu huingii bila VpN[emoji1787]
 
Sehem yeyote palipo na wapambanaji masnich na wanafiki hua hawakosekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…