Nazungumzia vitz new kuanzia toleo la 2007 zenye engine ya cc 1290 , 2sz, 1nz,2nz kuendelea hii gari haizungumziwi sana kama ist ila ni moja kati ya gari comfortable kwa mtu mwenye kipato cha chini na engine ya 1290 mafuta inanyonya kiasi na zinadumu sema ni kagari ambako hakazungumziwi tu
15-18Km/LKwani hizo IST na vits town trip zinatembea km /lt?
Hamna vitz hata ya cc 990 inayochemsha Fanya service vizuriVinachemka ivo vitoy jichanganye