Mnaoenda Mkoani msisahau hili

Rombo siyo kilimanjaro? Mbona wanalewa na kujinyea kuanzia asubuhi hawana mbele wala nyuma.
 
Safi
 
Ndio maana nikuambia itakuwa katika mkoa au kijiji chako lakini siyo Kilimanjaro, wewe umefanya generalization wakati siyo kila mahali hayo mambo yapo.

Kwa kufanya hivyo huoni kuwa unapotosha?
Kwa nn sehemu zote Tanzania ww utaje kilimanjaro mbona kama una jishuku mkuu kwamba nyinyi mna hela sana subiria mada za wanawake wa rombo kwenda kenya kupigwa miti kwasababu wanaume zao wapo bize na ulevi ndio uchangiye maana naona unalazimilisha kuitaja kilimanjaro.
 
Ndio maana nikuambia itakuwa katika mkoa au kijiji chako lakini siyo Kilimanjaro, wewe umefanya generalization wakati siyo kila mahali hayo mambo yapo.

Kwa kufanya hivyo huoni kuwa unapotosha?
Kutaja kilimanjaro wakati kwenye mada sijaitaja ni ukabila ndio maana nyerere alisema msipewe nchi nyie ni wabinafsi kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…