Mnaoenda Mkoani msisahau hili

As for me, I wish you a merry Christmas
 

Umewakumbusha vitu vya msingi sana mkuu, mwenye macho na masikio aone na kusikia. Show off achaneni nazo kuna husda
 
Kwa ambao hamuendi/hatuendi mkoani haimaanishi tusifanye Chochote nunua counterbook kutegemeana na idadi ya madogo zako, nunua kitambaaa Cha shule viatu, khanga/ kitenge ya maza na suruali ya mzeee funga vizuri kwenye Roba!

Juu ya roba unaaandika
Depal
0713242526
Arusha

Fika Johnson cargo(Arusha.....karatu ..... Nairobi) tuma mzigo, piga picha delivery note watumie tsup home ili wachukue mzigo wao
 
Mbona hujawaambia wakati wakurudi wastake kubeba ma-mikungu mikubwa mikubwa bure.Wakitaka walipie hiyo ni ajira ya watu.
 
Mbona hujawaambia wakati wakurudi wastake kubeba ma-mikungu mikubwa mikubwa bure.Wakitaka walipie hiyo ni ajira ya watu.
Wakienda na hvyo vitu hapo juu mkuu hata wakirudi na mkungu wa ndizi inakuwa 50/50 situation no pain no gain ila wakienda mikono mitupu halafu wakabeba mkungu wa muleba hapo sio sawa.
 
Ungeweka mfano ata wa muhaya ingekuwa poa....😄😄
 
Umenikumbusha kuna watu hawakutaka mtu fulani ajue wanarudi Dar wakashindwa kumficha safari ilikumbwa na matatizo ya slow pancha Mpaka wanafika Dar jambo zuri ni kuwa hawakuwa high speed vinginevyo ingekuwa history !
 
Kijiji gani hicho mkuu? Nafikiri siyo KILIMANJARO, mambo ya kishamba kama hayo hayapo kabisa na huwezi kupelekea ndugu zako hizo takataka ulizozichoka huko mjini wakazipokea, people nowadays are civilized na hawashobokei cha mtu, wanachotaka wao ni heshima tu, kwani ukiwa mjini muda wote unafikiri wao hawavai nguo? Unafikiri hawali chakula?

Acheni ulimbukeni
 
Mkuu hakuna sehemu nimetaja kilimanjaro kwenda kusalimia mwisho wa mwaka sio wachaga peke yao hata wengine wanafanya kwa hyo ungetulia kwanza usome vizuri.
 
Mkuu hakuna sehemu nimetaja kilimanjaro kwenda kusalimia mwisho wa mwaka sio wachaga peke yao hata wengine wanafanya kwa hyo ungetulia kwanza usome vizuri.
Ndio maana nikuambia itakuwa katika mkoa au kijiji chako lakini siyo Kilimanjaro, wewe umefanya generalization wakati siyo kila mahali hayo mambo yapo.


Kwa kufanya hivyo huoni kuwa unapotosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…