Tatizo hili ni kwa wanaume mpaka wanawake, wazee kwa vijana. Kuna watu wanakula mchana utadhani hana uhakika wa kula baadaye. Kula kula kula ndo mavitambi hayo!
Mazoezi jamani kwa mji wa Dar yataka moyo. Wengi watu wa kawaida hawawezi kuweka mashine za mazoezi nyumbani. Una chumba kimoja nyumba imejaa ndi hata pa kuruka kamba hakuna. Uswazi mashimo barabarani!
Tabu nyingine foleni ukitoka kazini saa 11 unafika nyumbani saa mbili usiku na unalala unaondoka saa 11 asubuhi. Mazoezi tunayoyazungumzia jamani ni yepi? Na msiseme ya kufanyia chumbani.
Uduni na umasikini wa ki TZ na mazoezi wengi hawawezi. Jamaa mmoja aliamua ku jog mtaani kwako. Barabara mashimoooo. Si akaingia kwenye shimo alianguka na kitambi chake pwaaaa. Zaidi ya hayo MOI wakampokea na kumpa POP. Hajarudia!
Cha muhimu-watch your diet!
42? Mtu mzima?
Unashangaa mama mchungaji?? Za kakondoo hizo.....hahahah!!!
Kakondoo umemwacha mama mchungaji mdomo wazi. Unahitaji kusimami na fimbo wew. . .
hahahah! Lakini hizo ni za last year, ngoja nifanye juhudi kuongeza za nyu yia.....lolzz!!
Jitahidi bana, hiyo iko chini sana.
Ukifikisha 52 ntakupa zawadi. . .
52! Enwayz.......sio mbaya sana japo mi napenda 50 tuu!!! Alafu utanipa zawadi gani, tuambizane hapahapa!!
Mnategemea nini kama mna"waweka ndani" kama kuku wa kisasa?du. Kweli kabisa ...halafu ukishawaweka ndani ndio wanajiachia kabisa..
Mi huwa eti nadhan kila mwanamke mwenye kitambi ni mwanachama wa CCM.
duh kweli, ''people differ in taste and preference'' kama ndo hivi.nani kakudanganya kuwa kuwa wenye vitambi hawana mvuto? Hujajua raha ya kitambi cha binti wewe... Sie wengine ndo ugonjwa wetu huo
Ha ha ha!..! Acha kuniumiza mbavu. Hiyo minyama ni mizuri kwa kuitazama tu, haina mchango wowote kwenye maraha zaidi ya usumbufu tu!mwanamke minyama babu
Hahahaha. . .Besti maridadi atafanya show maalum kwaajili yako. Hapo vipi?
Kipipi kumbe wewe ni kapotabo..
kwel watu tunatofautiana, mie nina kg45 mbaya zaid cyo mrefu na nina kababy face basi naonekana ka mtoto yan nakula mpaka ila haka kamwili kamegoma nataman kunywa hata mafuta yan nautaman unene kwa kwel
Unautamani unene? Nenepa kidogo tu ndugu, ukinenepa sana si ndo utakuwa mfupi zaidi!!