Mnakumbuka the return of j"hero

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
mnakumbuka kurudi kwa j "hero kulivyopokelewa kwa furaha adi watu kusukuma gari lake
 
apo akina mama na akina baba wakipiga vigeregere na vifijo kumpokea kwa shangwe
 
njaa noma.......usipopiga vigelegele hapo kibarua kinaweza kuota nyasi
 
Tukio lilinisikitisha sana,aibu sana kwa wafanyakazi wa serikali,ilithibitisha wako sahihi watu wanaotilia shaka uweledi wao siku zote!
 
Dah!! Unafiki hadi aibu,sasa ngoja aingie katibu mkuu mwingine tuone kama hiyo mibaba na mimama itaendelea kuonyesha huo upendo kwa Jairo siku akirudi hata kuja kuwasalimia tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…