Mnajua kwamba hii katuni haitakiwi jf?

Nilishaisevu muda mrefu, kwa kumbukumbu zaidi
 
Huo utawala unaousema huo unao we nyumbani kwako hao uliowaning'iniza hao ni ndugu zako kisa wanaishi kwako
 
ndo kazi ya fasihi kupitia sanaa message received hakuna haha ya kuufuta huu uzi
 
Hapa ni sentensi moja tu, uvumilivu wa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…