Mnajua kwamba hii katuni haitakiwi jf?

Kuna tofauti kubwa kati ya halisi na uhalisia
 
Magu kaamua kupambana na ufisadi himself bila kujali kuwa kuna vyombo vingi chin yake vingeweza kumsaidia....sion tatizo kuzungumza hayo maneno..caz hta hivyo vyombo haviend na kasi yake..kiukweli Our president anajitahidi sna...we better pray for him...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…