Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Mimi nina mtoto anaitwa Freeman Sifi Leo, kwa sababu mtoto huyu alizaliwa tarehe ambayo Freeman alitoka jela na kukimbilia IKULU chapu.
Sasa najiuliza huyo mtoto aliyetelekezwa na mama yake hapo Guest house Tabora na uzuri akaokotwa kwanini mmeamua kumbatiza Jina la Samia Suluhu Hassani Ili Hali sio damu yake?
Hivi Rais Samia amewakosea Nini?
Juzi Kuna Mmoja nilimsikia anataka Choo Cha wanafunzi shule Fulani anataka kiandiwe Jina la Dkt. Nchimbi na kile Cha wanawake kiandikwe Jina Samia kisa ndio waliokusanya fedha na kulipa kodi swali imefikia hatua mnataka mpaka majina ya vyoo yaitwe majina ya viongozi Ili iweje?
Shame on you! Mtoto aitwe Jina guest house alikotelekezewa.