Je, kama upo unaionaje? Is it as powerful as bootstrap? Maana nilianza nayo nikaona iko poa lakini niliitupa kule baada ya jamaa fulani kuniambia kuwa sio standard nihamie bootstrap.
Na swali lingine, kati ya bootstrap CND na parcel, ni option gani ambayo ni bora zaidi?
Go with bootstrap,w-3 ni good kwa beginner , sidhani kama bongo kuna wanaotumia w-3 kihivyo ila niliwahi ona project moja wametumia ,,kama upo vizuri kwenye vannila css i suggest ujifunze tailwind
Go with bootstrap,w-3 ni good kwa beginner , sidhani kama bongo kuna wanaotumia w-3 kihivyo ila niliwahi ona project moja wametumia ,,kama upo vizuri kwenye vannila css i suggest ujifunze tailwind
Hii sina ujuzi lakini kuna Hii inaitwa AppML kama sijakosea ni mpya imetengenezwa na W3bschool Juzi tu ndo nimeiona..Kusoma documantation nikajaribu ni nzuri ma nyepesi mno na ya kisasa zaidi..ila niliachana nayo