Mnae muita Jiwe'Binafsi nasema sii Jiwe bali ni Mkate tu!!

Frank King

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
1,310
886
Sikieni enyi Jamaa, Huyu sii Jiwe,ni Mkate tu ambapo kiboko yake ni Chai ya Rangi hata isiyokuwa na sukari,, ipo hivi....

Yesu alimuita Petro KEFA...yaani JIWE, tena akasema juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu wala Malango ya kuzimu haitalishinda....Sasa tunapo Muita jiwe nikwamba tunampa utukufu usiomstahili wala kumfaa,sii lolote si chochote, asiyeshaurika, aliyejihesabia haki,nakutuona hatuna haki yakuhoji wala kusema, amesahau kwamba hii Nchi ni Yetu sote.

Looh!! Yeye ni Mkate tu, kama hamuamini mwambieni asimamishe katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, uhuru wa habari, haki ya mikutano kwa upinzani....kisha uone kitakachotokea....

Asubuhi saa mbili lumumba na mgogoni hapatakalika.

SII JIWE NI MKATE!!
 
We acha mambo ya bibilia tuwe pragmatic.........jama ni jiwe hasikii...hari ni ngumu ajira hamna nyongeza za mishahara hamna mikopo chuoni shida mazao bei chini, biashara shida....hutuitaji mambo ya kale sasa tunahitaji solution...hayo ya Yesu siku zote yapo yenyewe yako costant siku neenda siku rudi
 
Sikieni enyi Jamaa, Huyu sii Jiwe,ni Mkate tu ambapo kiboko yake ni Chai ya Rangi hata isiyokuwa na sukari,, ipo hivi....

Yesu alimuita Petro KEFA...yaani JIWE, tena akasema juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu wala Malango ya kuzimu haitalishinda....Sasa tunapo Muita jiwe nikwamba tunampa utukufu usiomstahili wala kumfaa,sii lolote si chochote, asiyeshaurika, aliyejihesabia haki,nakutuona hatuna haki yakuhoji wala kusema, amesahau kwamba hii Nchi ni Yetu sote.

Looh!! Yeye ni Mkate tu, kama hamuamini mwambieni asimamishe katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, uhuru wa habari, haki ya mikutano kwa upinzani....kisha uone kitakachotokea....

Asubuhi saa mbili lumumba na mgogoni hapatakalika.

SII JIWE NI MKATE!!
Mtapata taabu saana
 
Back
Top Bottom