Mnada wa samani:Je,ikipatikana zaidi ya bil 1.,pesa inayobaki inakwenda wapi?

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Makontena ya Makonda yanadaiwa kodi bilioni 1.2!Baada ya Makonda kushindwa kulipa,imeamuriwa kupigwa Mnada!
Ikumbukwe tumeambiwa makontena hayo ni msaada toka kwa wanadiaspora!
Sasa najiuliza,iwape itapatikana labda bilioni 10,je pesa yote hiyo inachukuliwa Na TRA au wao wanachukua chao tu ambacho ni 1.2b?
Je,kama wanachukua chao,hizo zinazobaki zinaenda wapi?
Au anapewa Makonda ambaye ndio mmiliki?
Kama ndivyo,basi Makonda atakuwa katengeneza fortune!!!!!
 
ha haaa haaaaa.... Hii kali, mi nadhani mali yote inataifishwa na kama ndio serikali watampa itaonekana wamemsaidia kufanya biashara na atashukuru!
 
Nimemsoma mahali Mkurugenzi wa YONO AUCTION Mart...SCOLASTICA KIVELLA anasema katika Makontena 20 ya Bashite wamefanikiwa kuuza bidhaa/items 10 tu..
Ivyo Mnada utaendelea jmosi ijayo tena.
 
Mi nashauri zitakazozidi arudishiwe Makonda manake kwa jinsi Makonda anavyowapenda Waalimu, hizo za ziada lazima atazitumia kuwanunulia Mwendo Kasi yao peke yao!!!
 
Kuna makato mengi hapo Yono nao wana chao, bado faini na usumbufu na vingine vingi km akipewa basi itabaki chache sana ya kunywia Juice

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Kwa mtindo huo watakuwa wanacheza inabidi iende tu serikalini kwani na.mimi nitafanya hivyo ili upigwe mnada mxigo wangu na nipate kinachobakia.. sure
 
Back
Top Bottom