Ahsante Mungu kwa kunionyesha kiumbe hiki.
Hii ndio tabia ambayo ni sugu kwa members wengi humu ndani.
Mtu kama Nosing foo gudi alitoa posti hapa akadai kafanikiwa kulala na mume wa jirani yake, akajipongeza and then akataka apongezwe humu ndani. Ni wazi ana akili timamu sana ila kazisoma akili za members wengi JF akaona kwamba ili post lake libaki kileleni ngoja apost maujinga ili kadri watu wanavyosiliba post lake ndio wanavyozidi kuliweka hewani mada la ujinga, na mwishowe inafanya tuonekane wote wajinga.
Mi nadhani kusiliba kwa kumwambia mtu LIVE ana kwa ana ni tofauti kidogo na hapa.
Hapa njia muafaka ya kusiliba ni kuangalia post, na ukichangia sana piga
Itakuwa ni adhabu tosha akiziona hizo nyingi au akiona watu walio View ni 700 Replies 0
Vinginevyo atajiona mshindi
Waripoti kwa Invisible au xyln JF moderator,wao wanaamini kwa kuwa ni PM basi huwezi kuwashtaki wakapewa ban but you can do it kama umechoka lakini na matusi yao ila kama unafurahia.............
Ahsante Mungu kwa kunionyesha kiumbe hiki.
Hii ndio tabia ambayo ni sugu kwa members wengi humu ndani.
Mtu kama Nosing foo gudi alitoa posti hapa akadai kafanikiwa kulala na mume wa jirani yake, akajipongeza and then akataka apongezwe humu ndani. Ni wazi ana akili timamu sana ila kazisoma akili za members wengi JF akaona kwamba ili post lake libaki kileleni ngoja apost maujinga ili kadri watu wanavyosiliba post lake ndio wanavyozidi kuliweka hewani mada la ujinga, na mwishowe inafanya tuonekane wote wajinga.
Mi nadhani kusiliba kwa kumwambia mtu LIVE ana kwa ana ni tofauti kidogo na hapa.
Hapa njia muafaka ya kusiliba ni kuangalia post, na ukichangia sana piga
Itakuwa ni adhabu tosha akiziona hizo nyingi au akiona watu walio View ni 700 Replies 0
Vinginevyo atajiona mshindi
Jana siku yangu imeharibisa sana baada ya kusema ukweli kuwa watu wanatuchezea akili maana nilipata PM za matusi mpaka nikashiba mwenyewe lakini sitaacha kusema kweli hapa tusichezeane akili kabisa kwanini watu tupoteze muda, akili zetu kushauri ujinga???? na Uongo uliotungwa???
Tusiharibu MMU, Nikiwa mdogo nilisimuliwa story ya mlevi aliyekuwa anapiga kelele kijijini kila siku akitoka kulewa, Nakufaaaa, Nisaidieniiii, fisiiiiii, simbaaa,weziiii, nabakwaaaa, nk nk. Watu wakitoka kumsaidia ana waambia aaah, nilitaka mje mnisindikize nyumbani . Walevi wenye tabia hii wakaongezeka ikawa kero kubwa sana hata ilifika mahali wanakijiji wakawa wanapuuza mayowe na kuto jali kelele, siku alipo hitaji msaada hakuna aliye msaidia wakijua ni kawaida yake kupiga kelele. Najua sio Hadithi ngeni kwa wengi wetu, na sio lengo langu kusimulia hii hadithi ila tukumbushane tusijisahau
Tunapoomba ushauri MMU tuwe wawazi tuwekane sawa kama ni wewe, rafiki, jirani ndugu au ni story ya mtaani iweke wazi wataalam wetu hapa MMU wajue jinsi ya kuchangia. Inachekesha/inabore leo umeandika mkewangu kesho mumewangu Watu wanakuwa touched na story wanachangia kutoka moyoni Siku yakikukuta ukatoa ishu ya ukweli member wataichinjia thread yako baharini when you need them the most . Na wale wenye ID zaidi ya moja try to be smart.