Umenena vyema yaani siku hizi kunaboa sana mpaka basi na imekuwa comedy tu hapa maana unakuta mtu jana kasema natafuta mchumba mara anakuja nina mume miaka kumi, mara ooohhh nilikuwa na mpenzi mara natafuta mchumba mtu yuleyule jamani tusifanyane wajinga hapa tuko ili kusaidiana mawazo sasa watu wanapoleta mzaha inaudhi sana mpaka watu wanakata tamaa kuchangia mwingine ana ID nyingi anajichanganya mwenyewe kuweni smart ujichunge.
Nawasilisha mkuu
Nashukuru DA kwa kuliona hili, Kwa nini watu hawatoi ukweli, sio kilakitu lazima mtu awe yeye
Jana siku yangu imeharibisa sana baada ya kusema ukweli kuwa watu wanatuchezea akili maana nilipata PM za matusi mpaka nikashiba mwenyewe lakini sitaacha kusema kweli hapa tusichezeane akili kabisa kwanini watu tupoteze muda, akili zetu kushauri ujinga???? na Uongo uliotungwa???

Na hao ndio wanaotaka kutuharibia, tusipate maushauri ya nguvu, But keep it up dadaa!
Mbona na mimi nilivyomquote hakurudi tena akakimbia thread yake nadhani ndio maana akaamua kumalizia hasira kwako, angerudi tena aone tungemuanikaje? watu wanafikiri watu tunacheza hapa
Kabisa kuna wengine hata sijui jinsia zao wala marital status zao maana leo wataibuka leo demu wangu, kesho utasikia BF wangu...... kabisaaaaaaaaaaa umenena.....
Jana siku yangu imeharibisa sana baada ya kusema ukweli kuwa watu wanatuchezea akili maana nilipata PM za matusi mpaka nikashiba mwenyewe lakini sitaacha kusema kweli hapa tusichezeane akili kabisa kwanini watu tupoteze muda, akili zetu kushauri ujinga???? na Uongo uliotungwa???
Jana siku yangu imeharibisa sana baada ya kusema ukweli kuwa watu wanatuchezea akili maana nilipata PM za matusi mpaka nikashiba mwenyewe lakini sitaacha kusema kweli hapa tusichezeane akili kabisa kwanini watu tupoteze muda, akili zetu kushauri ujinga???? na Uongo uliotungwa???
Tusiharibu MMU, Nikiwa mdogo nilisimuliwa story ya mlevi aliyekuwa anapiga kelele kijijini kila siku akitoka kulewa, Nakufaaaa, Nisaidieniiii, fisiiiiii, simbaaa,weziiii, nabakwaaaa, nk nk. Watu wakitoka kumsaidia ana waambia aaah, nilitaka mje mnisindikize nyumbani . Walevi wenye tabia hii wakaongezeka ikawa kero kubwa sana hata ilifika mahali wanakijiji wakawa wanapuuza mayowe na kuto jali kelele, siku alipo hitaji msaada hakuna aliye msaidia wakijua ni kawaida yake kupiga kelele. Najua sio Hadithi ngeni kwa wengi wetu, na sio lengo langu kusimulia hii hadithi ila tukumbushane tusijisahau
Tunapoomba ushauri MMU tuwe wawazi tuwekane sawa kama ni wewe, rafiki, jirani ndugu au ni story ya mtaani iweke wazi wataalam wetu hapa MMU wajue jinsi ya kuchangia. Inachekesha/inabore leo umeandika mkewangu… kesho mumewangu… Watu wanakuwa touched na story wanachangia kutoka moyoni Siku yakikukuta ukatoa ishu ya ukweli member wataichinjia thread yako baharini when you need them the most…. Na wale wenye ID zaidi ya moja try to be smart.
Dahhh
Haya bwana
Lakini
ningependa kuwakumbusha
Hapa ni tunapigia mbuzi debe
mtu anapotoa topic ambayo haina manufaa ye yot e
sisi ndo wa kwanza kuchangia na kumkemea
Hapo anapata kichwa sababu poster
zinaongezeka kwenye thread yake..
cha kufanya labda tusichangie kabisa..
Na tukumbuk
kuna kizazi kipya humu..
heshima yababu na bibi
Imepungua kwa kasi kubwa..
Ndo maana
watu wenye short temper
Kama mimi ..mara nyingi
Tunaa achia tu..
AD Pole na Msiba!
Hivi Computer yako huwa inakuwaje maana misitari yako uwa inaishia katikati ya ukurasa?