MMU kijiwe cha Wanaume kulalamika..

πŸ˜βœ‹.. Give me five.. Chukua uji wa pilipili manga hapo hakuja kulipia!
 
Reactions: BAK
Kuna wanawake wanapenda kampani za kiumeni( sio mbaya sana), na kuna wanaume wanapenda kampani za wanawake, wanadiscuss vipodozi na mambo kama hayo, nadhani hii ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…