MMU jf group la kusaidiana

We ndo ungenambia ulipo ningekufata nkulete nyumban kabisa
Yaani ujitolee kuwa ndugu yangu bado tena unifate hapana boss sitaki kukusumbua niambie nitakuja mwenyewe lol
 
Huwa nasaidia wenye uhitaji sio watu walioshiba na kuwa bored wanaamua kuja ku-act mitandaoni. Imagine mtu anataka asaidiwe lotion imeisha, mwingine atakuja hapa DSTV Premium yake imeisha tumsaidie.
Mimi shida yangu umeiona lakini pacha?
 
Paka mafuta ya nazi. Mbona kijijini mnajipaka sabuni mkimaliza kuoga mtoni?!
 
Mwanamke kutupiwa vyombo huo ni ubaba, mwanamke ni kujiongeza kwa faza hausi ukae bure.
#mwanakamati
Kuna shosti wangu aliliwa Na faza house akajua halipi tena. Siku ya kodi faza house akadai ameuza nyumba akaleta mtu mwingine akakomaa ikabidi alipe.ila wanaume bna ahahaa
 
Hiyo lotion ipo wewe tu na muda wako tena kwa moyo wa upendo nitakupaka lol sehem ya mwili wako
 
Tatizo ni hii dunia imevaa taulo wajanja wengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…