mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
hahahhaha miminjishanusurikaga kwenye UDA aisee duuh siku hiyo jion niko busy mmu kaja kibaka dirishani sasa kama mnavyojua uda ni mpya kwa hiyo hata vilock vya madirisha ni vipya
so kwa ubusy niliokua nao na simu nilivyoingia hata kukumbuka kufungua kioo sikufungua so kibaka anangangana kuvuta kiiooo nakuja kumuona kashangangana sana
nikamzomea oooooh dirisha lina kitasa
wewe huna njoo geto nikupe toto
Inabidi ahame jukwaa! Mwambie ahamie JUKWAA LA WAKUBWA hawatamuibia tena! MMU haifai wataiba tena laptop!watakuja kukwapua na laptop. we endelea tu na MMU.
Wewe je hakua muarabu na mpemba
Mhhh........
Ghetto, sindio mjengo wa widah?
Kamsomee albadilii hehehee..poule
Eti waarabu na wapemba hahahaha
Mbona uko zanzibar hatusikii kukwapua watu, mpaka wizi pia mnatusingizia? Salaaaaale
Hahaaaa...
Umenikumbusha mama wa miss tanganyika ambae ni dem wa huyu msanii (almasi.
Hivi walisha timiza azma yao ya albadiil?
Aliyekwapua ni mwarabu hana maana mbaya na nitaarifa kapokea kutoka kwa wenyeji mkuu tatizo unataka kuchanganya uhalisia na udini udini ivi mawazo yako siyo sahihi..... kila jamii inamakundi mabaya na mazuri ...
hapana alikua damu yake sio ya asia
Hahaaaa...
Umenikumbusha mama wa miss tanganyika ambae ni dem wa huyu msanii (almasi.
Hivi walisha timiza azma yao ya albadiil?
Nikose Laptop nichekweee baba Pengo, ukiwa na Laptop/Computer ni Raha zaidi hadi picha za vichekesho za IDs unaziona, lakini simu haoini kitu, hata like haionyeshiOkay, kumbe una laptop..!!??