Qn 1: Nini kilikuvutia kujiunga na JF?
Qn 2: Times are changing so is JF, waonaje changes ndani ya JF are we going for the better or worse?
Qn 3: Ukiwa na muda wa kutosha JF unazungumziaje suala la KURESIGN KWA MEMBERS PERMANENTLY akiwamo my favourite Faiza Foxy na wengineo? What keeps you comming back in JF yaer after year?
Qn 4: Enzi zenu pornography hazikuwepo, 1[SUP]st[/SUP] time performance ulicopy wapi maujuzi au ndo ile mlaji hakosei mdomo hata ikiwa giza? LOL!
You are so NASTY!!!!!!!!! Damn!!
Qn 5: Mkeo mmeshakula anivesary kadha wa kadha, funguka kidogo What Present do you usually get your wife katika anivesary yenu, unafanya nini ili kuhakikisha she feels special in that day na haipiti jst like any other days?
Ujanja wote huo babu!!!!!
Qn 6: Tabia ya wanandoa kutake each other for granted, na kuacha kufanya vitu vidogo vidogo ambayo they mean a lot to the partner kama kumpelekea breakfast on bed, kumnunulia zawadi na Kumsifia yeye mzuri!!! Vipi kwa upande wako, unakabilianaje na hali?
Qn 7: Ukijua mkeo kakuwekea Mambo yetu yaleee ya LIMBWATA, na ameconfess mwenyewe utachukua hatua gani? (Mind you you shared a decade with her!)
Kweni wapole wadau kidogo, NIMEGONGA IKULU Mzee analia kidogo manake huko nyuma mama ngina alimuachaga sasa nimemkumbusha mbali, uchungu ukipoa atarudi kuzuga humu ndani! The past always hunts you!