Mbivu na mbichi zitajulikana tu, mwisho wa siku akina MEENGI watatajwa alivyohusika kuhujumu mjadala wa ESCROW. Niwaulize wapendwa LUDOVICK UTHO ni kabila gani, isije ikawa wanatoka mkoa mmoja na MENGI, MBOWE, MNYIKA n.k
Kwa sababu limeiweka serikali mfukoni.
Huyu alikuwa ni wa kukamata siku nyingi awe ananyea ndoo tu.
Mambo kama haya serikali inatakiwa ionyeshe nguvu yake lkn hapa serikali imeshindwa na only a Single person.
Tiwa MFUKONI
Mtanzania mwekezaji Mhehe mwenye asili ya ASIA lkn yeye si Mhindi, paaambafu.
sosoliso huna habari Wapare wanatoka Mkoa mmoja na Mbowe kina anna Kilango na wengine na huko kuna vikabila vidogovidogo km Wamachame, Wagweno, Wasangi, waMbaga
sosoliso huna habari Wapare wanatoka Mkoa mmoja na Mbowe kina anna Kilango na wengine na huko kuna vikabila vidogovidogo km Wamachame, Wagweno, Wasangi, waMbaga
Ok mm sikujua kuwa Mnyika katokea Kondoa maana huko wamejaa Mrijo Chini
Kila siku nilijua ni Mpare na kutokana na ubishi wake nikaamini Upareni ipo Kilimanjaro
sasa kumbe ni Tanga Oppps Dodoma haya ngoja nikutafutie CV kwa BMT pale Dodoma

Mkuu ngajapo hajaeleza fedha za kumulipa ruge alizipata wapi anaeleza kuwa anauza umeme bei ndogo hoja iliyopo mezani yy haijui, atueleze haowaliochota pesa huko stanibic ni akina nani, yy lazima anawajua, kwanza angekuwa segerea ndiyo angejua kuwa inchi inawenyewe lakini ndiyo hivyo wakubwa ndiyo WEZI.