Kizazi jeuri
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 297
- 64
Elimu ya bure mpaka Chuo kikuu haiwezekani.lowassa anawadanganya wananchi. Ikitokea akafanya hivyo yatawekwa masharti ambayo asilimia zaidi ya 90 hawatanufaika na hiyo offer.
Kweli u are limited in a thinking ability, ndio maana LOWASA anasema inhtajika elimu kwa watanzania, hapa ndipo wenye ufinyu wa mawazo wanafikiria, watanzania tunafikiria Elimu mkoloni ccm aliotupatia miaka 53 hadi sasa (Bookish) education
Hapa tunazungumzia elimu mpya, ya Tanzania mpya tunazungumzia Elimu inayo suit Dunia ya sasa
Elimu itakayofuata misingi ya falsafa za elimu ikiwaandaa watu kulingana na uwezo wao, na makundi maalumu
í-½í±‰Watu wa Cognitive
í-½í±‰ watu wa Psychomotor
í-½í±‰ self reliance education
Ukiwa una self-reliance education sidhani kama kwakuwa ulipi Ada basi utapeleka kwenye pombe au starehe, pombe watu wanakunywa extremely kwasababu ya Ugumu wa maisha wanasomesha kwa shida, ila watu wakipunguziwa mzigo wa elimu, wana uwezo wa kutumia mapato yao ya ziada katika uwekezaji mkubwa, pombe kwa starehe. Na kufanya maendeleo, maana elimu itakuwa imemuandaa katika hayo yote.
Mtu atasema watanzania hawawezi, hawawezi maana hawana elimu, wamebweteka, wamebweteka maana hawana elimu bora.
(nikisema elimu sio kuingia darasa la 1-7 then kidato cha 1-4) alafu chuo ukiwa umekariri history tu.
í-½í±† hiki ndicho watanzania wengi hatujui, Elimu si kwenda msingi, sekondari tu. Kuna technical education, kuna agricultural education, kuna entrepreneurship education, Tanzania imesahaulika. Kuna elimu ya kujitambua tu, ili haya unayohofia yasiwepo, lkn hayobyote hayapo.
Ndio maana tunasema tunahtaji mfumo mpya wa elimu wenye kumgusa kila Mtanzania kwa namna moja ama nyingine kumuandaa kuishi maisha huru na kukabiriana na changamoto mpya za dunia hasa sayansi na teknolojia.
Tusichanganye cognitive na psychomotor. Kila koja itumike vema in combination tuzalishe watu bora watakao anzisha viwanda vidogo vidogo na kujiajiri, kisha tujenge uchumi imara.
LAKINI elimu yetu ya sasa tuna assume kila mtu anaweza kuwa cognitive, kila mtu anaweza kwenda mpk chuo kikuu, akisoma history, English, kiswahili nk nk.
Elimu kama elimu ni pana sana. Lazima mfumo wa elimu wa nchi yetu ufumuliwe kabisa.
Ukisoma comparative education naimani china yaweza kuwa case study nzuri ya ku dig from kubuilt our new education system.
Kuna challenges za culture lkn we can mix to suit our cultural environment.
Amka Mtanzania elimu bure inawezekana
Na Elimu bora sio hii ya CCM
Pumba tupu plus mavi debe
Elimu ya bure mpaka Chuo kikuu haiwezekani.lowassa anawadanganya wananchi. Ikitokea akafanya hivyo yatawekwa masharti ambayo asilimia zaidi ya 90 hawatanufaika na hiyo offer.
Habari za jumapili wakubwa na wadogo, natumaini kila mtu yupo vizuri sana.
Nina jambo nimefikiria sana, na kwa muda mrefu bila kuwa na majibu, na kwa kuwa nimeishia darasa la saba nikaogopa sana kulileta hapa jamii forum, ila leo imetokea tu nimejipa moyo na nimeamua kulileta kama fikra zangu zinavyo nituma.
Swala lenyewe ni la ELIMU yetu Watanzania, tena ni hii Elimu ya bure. Tumeshawah kufikiria kuwa bila kulipa school fees hali itakavyo kuwa katika iki kizazi? Ulimwengu na wazazi, wazazi na mtoto na pia mtoto na ya dunia.? Kwa mfano ulimwengu na wazazi, wazazi wa sasa school fees ilikuwa inawalimit sana katika starehe, kwa kiasi wakawa watulivu, na starehe, Hesabu na kila kitu ni kwa sababu ya school fees, je ada zinatolewa wazazi watakuwa wa namna gani?
Je watoto hawa wa sasa hivi ulimpii Ada utamwambia nini akuelewe wakati heshima yote alikuwa anakupa sababu ya Ada, kwa mfano mtoto wako akakumbia mimi ni gay umri wake miaka 16 hata miaka 18 hajafika ni lugha gani ya matendo utamtishia? Wakati huo ukimfukuza anaondoka.
Madhara ya wazazi kutokulipa Ada ni makubwa sana tofauti tunavyo fikiria, mvurugano utakuwa mkubwa sana ni kama Dunia bila amri za Mungu. Ada ndio speed gavana kati ya mzazi na mtoto, mtoto na Mzazi na pia heshima itaweka katika jamii, na ushenzi utakuwa mwingi sana.
Samahanini kwa kiswahili kibaya maana nimeandika nikiwa na hamu ya bang.we.