Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Sasa Kama na we unatia wauza papuchi hiyo guest ilikushinda vp kuendelea kuishi
 
Huyo dada Yuko sahihi kutokuwa na amani...maana tayari umeropoka humu ingawa huja taja jina...halafu uache tabia ya blackmail..huyo dada ulimpata kufuatia tukio Hilo kwa ku-blackmail...
Sio blackmail bali ni fursa kama clouds wanavyoita!
 
Majirani hawamo JF? Bora alivyoamua kuhama, siri iko nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofcz ushasema ni mpambanaji.
Katika mapambano kuna harakati nyingi hasa ukiwa mwanamke.Maisha sio mchezo.
 
sisi inatuhusu nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…