Mmh hii nayo kali

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
5,143
Reaction score
3,210
Nilikuwa nasoma gazeti la habari leo, kuhusu awamu ya nne kutoa ajira zaidi ya milioni moja. Nilipofika kwenye maoni ya wasomaji nikakutana na maoni haya. Its funny!!

Unaweza kusoma habari hii kutoka hapa
 
Ukiongeza na uwingi wa madadapoa kila kona ya miji mikubwa kweli ajira isiyo rasmi imeongezeka maradufu.
 
mmhhhhhh-nina hacra saana. cna hata la kusema.mdogo wangu hana ajira kwa sasa
 
Natamani ujumbe huu umfikie Kikwete au Kapuya kama ulivyo.
 
hahaaa hiyo kali na sekta ya Omba omba nayo imehimarika .....usije wanamziki kila mtu siku hizi Bongofleva......:A S-eek:
 
hahaaa hiyo kali na sekta ya Omba omba nayo imehimarika .....usije wanamziki kila mtu siku hizi Bongofleva......:A S-eek:

Kuna haja ya waziri kuainisha hizi sekta binafsi ni sekta gani. Manake kusema tu sekta binafsi ni neno pana sana. Na linaweza kufafanuliwa kwa namna nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…