Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Esau aliuza haki ya uzaliwa wake wa kwanza kwa yakobo sababu ya njaa akapewa chakula cha dengu akauza haki yake ambapo mpaka leo imekuwa anajuta na kizazi chake na laana juu yake, mfano huu naufananisha na wasanii walio itwa wakale dinner ya siku moja na kuuza haki zao, kwani naamini hapo wengi wameshawishika na kuombwa kuisuport ccm kwa namna yoyote, mmeacha kutetea na kupigia kelele haki zenu mnaenda kula dinner msosi ambao hata home ungepika au ule unatofauti sababu mmekula na rais? Na wengine mnatia kujisifia mmenda kula diner na maghuful? Shame on u msanii kweli jambo hilo ni la kujisifia? Ok mmeshakula dinner, n nn kipya mmepata? Ccm wao wanakipya maana wamewakomvisi muwe nao kwenye kampeni na kuwapigia kura je mmefaidika nni? Kwann dinner msile siku zote na maghufuli toka mika ya nyuma leo ndio mje kula na maghufuli? Shtukeni angalieni mnauza haki zenu co kwa dengu bali kwa mlo mmoja wa pilau, ndizi, pilipili, kiku, matango yenye mayonize na kabeji. Msiwe wepesi kiasi hicho wengine wanatia na kujisifu kwamba wanaenda kula diner na rais, aibu sana kwa wasanii wasio na uwezo waku ng, amua madudu na mitego ya ccm, ckuzote walikuwa wapi? Kesho kutwa wataitwa bongo muv nao wakale. Shtukeni muda umeisha, mi nilijua mmeitwa mkaambiwe kuanzia sasa hat miliki ni hv na hv kumbe ni pilau, mmedhalilisha sana wenzenu ambao hawakwenda wenye akili. Ni hayo tu kwa leo