Mmasai huyu nouma

piper

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
3,253
612
Jamaa fulani wa kimasai alijisikia anaumwa hivyo akaenda hospitali kwa uchunguzi wa kitabibu, baada ya vipimo vya hapa na pale daktari alimuwekea kipima joto (thermometer) mdomoni ili aangalie joto la mwili wake, alipogeuka kuandika majibu kwenye daftari, majibizano yao yalikuwa kama ifuatavyo:

Daktari: kipo wapi kipima joto kilichokuwa mdomoni mwako?

Mmasai: nimeshamesa nilifikiri ni pipi.

ilinibidi nijiondokee nisisikilize zaidi maana mbavu zilishaanza kuuma.
 
Basi ulipoondoka Mmasai akaomba maji ili yakisukume
maana kilikuwa kimekwama kwenye koromeo...
 
huyo mmasai noma, inaelekea alikuwa na hamu sana na pipi.
 
na hapo tena anaweza kurudi kwa ajili ya operation ya nya coz icho kithmometer kanaweza kikagoma kutoka...............
 
Back
Top Bottom