Mmakonde Chale

Huyu myauya wa lindi,wamakonde washaelimika,alafu km vl namfahamu pindi nilipokuwa kusini
 
Watani wangu hawa kwa kupenda kula Mbwa kazi kweli ipo hapo. Ukikimbia nitakupiga nchale ukisimama nitakupiga upinde ..... Hakuna kitu ninacho kipenda kwa Wamakonde kam hiyo Ndonya iliyoko Puani ina Siri kubwa sana hiyo Ndonya.

Siri ya ndonya ni nini? Au kwanini wamakonde wanaweka ndonya? Mimi ninachowapendea wamakonde ni ngoma zao tu, wasichana wa kimakonde wanakatika viuno vizuri sana.
 
Siri ya ndonya ni nini? Au kwanini wamakonde wanaweka ndonya? Mimi ninachowapendea wamakonde ni ngoma zao tu, wasichana wa kimakonde wanakatika viuno vizuri sana.
Wewe kama unawajuwa Wamakonde waulize ule mti wanao weka puani una siri kubwa sana na ni dawa ya mapenzi kama unamjuwa Mmakonde yoyote yule muulize mti ule unaitwaje kama ataweza kukutajia jina lake. Mkuu Salamander
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…