Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,753
Umempa ushauri mzuri sana dogo , ila kwa sababu ni kiziwi baada ya miaka kumi hatojua kama ulimshauri hivi , atakapo kua anaogolea kwenye dimbwi la ufukaraTafuta pesa zako achana na hao
Usiwategemee.
AsanteUmempa ushauri mzuri sana dogo ,
Atakuwa amechelewa na akiwa taabuniila kwa sababu ni kiziwi baada ya miaka kumi hatojua kama ulimshauri hivi ,
atakapo kua anaogolea kwenye dimbwi la ufukara
Content creator anayelipwaKwanza nimepatana na la mama hapa wa miaka 40,licha ya mimi kua nn miaka 28,anipa raha kweli situmii ela yangu natumia ya kwake.japo amenizid kiumri,ila mishangaz mnatujal san ss vijana wadogo yan hata demu hawezi akanijali hiv,ila mishangaz kweli wazuri.unapg show unahisi upo ulaya.anachonpendeya anasema mm nnamtosheleza kimapenz,si unajua vijana wadogo tulivyo na mioto mishangaz na wake za watu siwaachi daima.kwan hii bong stunashea mapenz