mm siachi ng'o pu..part2

mm siachi ng'o pu..part2

agsam878

Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
22
Reaction score
10
kwanza asanten san kwa ushauri maoni yenu meng sana ila nahc hujui had nafikia hatua ya kusema kwa upande wangu bora puny-- kulk mwanaume ngoja nikupe mkasa kidogo
mm bnt ninakaribia26
nilikua na mtu kwa 7yrs namshukuru kanisomesha QT nikafauru na 4nikafanya vizuri kanipeleka na VETA
kwahio kanisaidia kanisaidia kwa kiasi fulan
kwao wananijua kwe2 anajulikana vizur
"kwa ufupi mtu huyu alinibadilikia na kunikana nilipokataa kutoa mmba ambayo alinipa hvyo tokea nikiwa na mimba ya miez3 had sasa mwanangu anamwaka na miez9 hajui mwanae hajawahi kumwona amewakataza ndugu wote kwao kua atakaejaribu kuongea na mm hana undugu nae ukizingatia yeye ndo kila ki2kwao hawana wazazi.

cha kushangaza mtoto nikopilait na yeye ila amemkataa live
hayo kwa ufup tu ila kunamkasa mwingi katikat ambao unasabibisha nisitamani hata kuana mwanaume wapenz wanajamii wenzangu.yaan mapenz yamenitoka nimekua citamani kua na mwanaume nahc kila mwanaume mwisho wacku anakutelekeza
sasa ntaachwa na wangap bora nifanye pnt nahc cpati stres nikohuru na inanichukua hata miez m2 ndo nafanya ubaradhuri huo coz huwa cpati muda mwing wa kuwaza ngono inapotokea ndo hapo hapo
SAMAHAN KWA WALIONIELEWA VIBAYA TUPO HAPA KUJIFUNZA NA MENGINEYO
 
......You are doing devil's work. Mungu akusamehe dada angu.
 
Mdada usione watu wapo kwenye mahusiano ukadhani mambo ni mstari ulionyooka. Milima na mabonde ni vitu vya kawaida kwenye mapenzi na visikukatishe tamaa. Mi nikushauri tu kuwa usijifungie mlango wa kupenda au kupendwa, bali tu kuwa makini kabla hujaingia humo...
 
duuh kumbe niwewe ndiye uliyekuwa ukijipiga nyeto halafu umemsingizia rafiki yako
 
Safi sana endelea kupiga puli mwisho wa siku utapata jini mahaba.
 
Ni majaribu tu ya dunia sali kwa sana maan kujichua kuna madhara dada yangu
 
Dada angu ucwe na mawazo finyu cio muda wa kukata tamaa ww bado mschana je ukiamua hvyo utafanya mpaka lin? pia puny kitaalam inaufanya mwil wako kuwa butu yaan kuto jickia wakat wa tendo,ushaul wangu jikaze utampata wa ubav wako
 
kwanza asanten san kwa ushauri maoni yenu meng sana ila nahc hujui had nafikia hatua ya kusema kwa upande wangu bora puny-- kulk mwanaume ngoja nikupe mkasa kidogo
mm bnt ninakaribia26
nilikua na mtu kwa 7yrs namshukuru kanisomesha QT nikafauru na 4nikafanya vizuri kanipeleka na VETA
kwahio kanisaidia kanisaidia kwa kiasi fulan
kwao wananijua kwe2 anajulikana vizur
"kwa ufupi mtu huyu alinibadilikia na kunikana nilipokataa kutoa mmba ambayo alinipa hvyo tokea nikiwa na mimba ya miez3 had sasa mwanangu anamwaka na miez9 hajui mwanae hajawahi kumwona amewakataza ndugu wote kwao kua atakaejaribu kuongea na mm hana undugu nae ukizingatia yeye ndo kila ki2kwao hawana wazazi.

cha kushangaza mtoto nikopilait na yeye ila amemkataa live
hayo kwa ufup tu ila kunamkasa mwingi katikat ambao unasabibisha nisitamani hata kuana mwanaume wapenz wanajamii wenzangu.yaan mapenz yamenitoka nimekua citamani kua na mwanaume nahc kila mwanaume mwisho wacku anakutelekeza
sasa ntaachwa na wangap bora nifanye pnt nahc cpati stres nikohuru na inanichukua hata miez m2 ndo nafanya ubaradhuri huo coz huwa cpati muda mwing wa kuwaza ngono inapotokea ndo hapo hapo
SAMAHAN KWA WALIONIELEWA VIBAYA TUPO HAPA KUJIFUNZA NA MENGINEYO

usiniambie kuwa wewe ni mwanachama wa chaputa au cwpt?chama cha wapiga pu*nyeto tanzania(cwpt)
 
wewe unaweza ukahisi una matatizo lakini sikiliza mikasa ya watu utasema mungu nakushukuru
 
hiyo mimba ulibeba je alikwambia kuwa anataka kuzaa na wewe ?
 
Sijaona bado sababu kubwa ya wewe kuingia katika kundi la cwpt. Kuna watu waliopitia majaribu zaidi ya kwako wewe. Hakuna maisha yaliyonyooka hata siku moja. Nakushauri achana na huo ujinga, mrudie muumba nawe utakula mema
 
Wewe si uliweka bandiko hapa kutafuta mpenzi? umeshampata? Pia nakumbuka kwenye bandiko lako hukuwahi kusema kama una mtoto dah kumbe na wewe ni muongo tu!! endelea kujiburudisha dada.. piga muziki wa alaaaaaaaaaaa yan unajipiga jigjig
 
Ila wewe mdada huoni kwamba mwanao nashuhudia hayo madudu yako, sasa ni malezi gani mazuri atayapata kutoka kwako?
Shida yote ya nini wakati maisha huwa ni sawa na kupanda mlima na kushuka,na wakati mwingine bwana atakupa njia kuwa na imani.
 
Back
Top Bottom