Mlokole na guest.

Access Denied

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
655
Reaction score
211
Mlokole mwenye guest
alikataa yanki mmoja
aliyekuja na mama mtu
mzima kupata chumba
akisisitiza kuwa guest yake
hairuhusu uasherati. Yule
mama akaja juu na
kumwambia Mlokole kuwa
yule kijana ni mwanae,
basi wakapewa chumba.
Mlokole akamtuma
muhudumu mmoja
akachungulie kwenye
dirisha la wapangaji hao ili
kuona kama kweli ni mtu
na mzazi wake. Baada ya
muda muhudumu akarudi
na jibu,' Mzee kweli wale ni
mtu na mtoto wake,
nimemuona yule mama
anamnyonyesha mwanae'
 
Tehe!tehe!tehe! Chezeya shetani!
 
siku hizi mmambo ya kawaida sana sababu ya imani za ushirikina mkuu
 
watu wengine ni ufupi tu.. bt mambo yaoo.sio ajabu sio mtoto hyo
 

mhudumu naye ni lofa kumbe.....wananyonya watoto wadogo sio libaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…