Mkuu,Mkuu,
Mungu yupo makanisa yote, hata huko alipo yupo. Sasa ulazima wa kwenda anakosali dada ni upi? Au kuna lingine zaidi ya kusali? Akijitokeza dada mwingine wa dhehebu tofauti nako aende?? Akijitokeza mwingine na mwingine aende kote huko?? Ya nini kuhangaika huku na kule? Atulie ktk kanisa lake, na wokovu ni matendo, sio kusema tu NIMEOKOKA. Mtu anaokoka kutokana na matendo yake, na sio dhehebu lake. Hivyo hata wakatoliki wanaokoka thru matendo yao.
Kwa kumalizia nasisitiza jamaa abaki anakosali, kusoma bible, wokovu, n.k vyote atafanya akiwa RC.
Mungu ni mmoja, imani ndio inatakiwa hiyo kutaka kukubadilisha ni pumba unaweza kuwa kanisani kwako ukaokoka pia, je mmefikia wapi sasa ni January? au ulimwambia utamuoa, du kama anaanza kabla ya ndoa hivi mkioana itakuwaje? au lazima kwao kaambiwa aolewe na mtu wa dhehebu lake
Nilidhani angeikimbia zinaa na kujificha kwenye ngome YESU ambaye ndiye wokovu , kuliko kujichimbia kwenye wokovu wa kondomu !!!Chunga sana maamuzi utakayofikia siku hizi mitego kila mahali. Kondomu moja kwa kila tendo ndiyo itakuokoa. Acha ngono zembe.okoka umrejee yesu.
Kazi kwako.
Chunga sana maamuzi utakayofikia siku hizi mitego kila mahali. 1.Kondomu moja kwa kila tendo ndiyo i(takuokoa???). Acha ngono zembe. 2.okoka umrejee Yesu.
Kazi kwako.
Nichukue lipi kati ya mawili? Ila nina uhakika kondomu haileti wokovu.