Kwan dawa ya huu ugonjwa ni nini MziziMkavu
Ukihisi tu unatatizo hilo, we chukuwa medicated soup, nawa macho na hakikisha masho yamewasha kwa sababu ya ukali wa sabuni. Km utakosa hiyo dawa.
hiyo supu unaweka ndimu na pilipili au huweki ?
Ndugu Shark ameshakwambia Mkuu.@Nyakagen kuwa Dawa zinauzwa kwenye maduka ya dawa zinakwisha wewe bado unataka dawa zipi zingine?Kwan dawa ya huu ugonjwa ni nini MziziMkavu
Kuna mlipuko wa red eyes sehemu kubwa ya jiji la Dar.
Wizara kimya, Serikali kimya.
Hili nimeligundua baada ya dawa ya IVYDEXNEOCIN kuisha kwa kasi sana kwenye maduka ya dawa muhimu (pharmacies)
Dawa zote ambazo ni related to DEXAMETHASONE AND NEOMYCIN EYE/EAR DROPS zimenunuliwa kwa kasi sana na kuisha kwa muda mfupi sana hasa maeneo ya Mbagala, Kigamboni Mjimwema, Buguruni, Kitunda, Mwenge & Gongolamboto.
TAHADHARI:
Tuchukue tahadhari kwa kuwa wasafi na kuwa mbali na waathirika.
Kuwa makini kwenye mikusanyiko.
Nami niliupata siku tatu zilizopita. Ila nilitumia maji ya uvuguvugu nikachanganya na chumvi nikawa nayakanda kwa kitambaa safi na chepesi.Hakika hii dawa ilinisaidia sana kwani nimepona sasa
Ukihisi tu unatatizo hilo, we chukuwa medicated soup, nawa macho na hakikisha masho yamewasha kwa sababu ya ukali wa sabuni. Km utakosa hiyo dawa.
Ukihisi tu unatatizo hilo, we chukuwa medicated soup, nawa macho na hakikisha masho yamewasha kwa sababu ya ukali wa sabuni. Km utakosa hiyo dawa.
Hahahaaa,jamaa alikua anamanisha medicated soap nadhani.