Mlipuko wa mabomu Mombasa

Write kirangi no English. ..

Ndio style yake hiyo,,soma post zake zingine.

Na ukiangalia kingereza anachoandika kina makosa ya makusudi.....mnaomshangaa nami naashangaa
 
Ndio style yake hiyo,,soma post zake zingine.

Na ukiangalia kingereza anachoandika kina makosa ya makusudi.....mnaomshangaa nami naashangaa

Namfaham fika...post yangu ina utani ndani yake ndio maana nikamwambia kirangi
 
Ndio style yake hiyo,,soma post zake zingine.

Na ukiangalia kingereza anachoandika kina makosa ya makusudi.....mnaomshangaa nami naashangaa

nilikua najiona genious kwasababu nilifikiri peke yangu ndo najua kuwa jamaa anafanya makusudi...kumbe tupo wengi..
 
Yesu Kristo na Maria.
 
Kenya toweni jeshi lenu Somali ili mpate amani,vinginevyo lieni kimyakimya maana mmeyataka wenyewe.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Haya mashekhe mjiandae kula shaba na nyinyi muda si mrefu.Magaidi gani mnakuwa waoga hivyo mnavizia vizia tu watu badala ya kuwa mstari wa mbele kupambana uso kwa uso.
 
Wasakwe na wawajibishwe ipasavyo.poleni ndugu zetu wa kenya.
 
Poleni wakenya kwa majanga.ugaidi ni wendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…