Mlipuko wa mabomu Mombasa

Chokoza nyuki uone cha mtema kuni manyang'au walionjeshwa asali na wakona wanachonga mzinga kumbe wamechokoza nyuki
 
Lugha za watu ziacheni kama zinawapa matatizo kuliko kutoa uharo ambao hata haueleweki!
 

uislam unaingiaje hapo? wewe ni kenge maji shaitwain mkubwa
 
Hiki ndo nini sasa? Kwanini usiandike kiswahilu tu?
 
nasikitika sana ninaposoma hizi habari. si njema kabisa
 
Why do u force using a languange u dont well understand.u tryd but dont try it here next tym..!!
 

well said
 
Ilitabiriwa na TB Joshua
 

mkuu kiswahili kinakusumbua?
 

hehehe...kampala and kigali i go there i see sexy african queens...they love so much bongo people..i will marry them..
 

duuuuuuh mkuu rudia form 4, na siku nyingine tumia kiswahili.
 

Watusi wote wameludi Kama kawaida si unajua tena Tz kila kitu kinawezekana walienda Likizo Rwanda wakaacha vitoto vya Nyoka vimekimbilia Dsm na mikoa ya kati Kati ambayo Kimbunga hakikufika vizuri, wale M 21 si ndugu zao wa karibu wale ni washirika wa Kagame kwa ajili ya kuiba Rasilimali za Congo .
 
Huu Ujinga wa Kufikiri kwa Lugha za Kigeni Utakwisha lini ? Huyu atakuwa ni Mke wa Le Mutuz ! Maana ndio Kiongozi wa Malimbukeni wanaodhani Kuwa bila Kingereza kukimix na Kiswahili Ujumbe haufiki bara-bara,Wapo watu wanaamini Kuwa kuzungumza Kingereza ni Usomi wakati kuna wasomi kwa kichina,kifaransa,kispain,Kijerumani nk wana PHd ni Maprofesa kwa lugha zao pasipo kukifahamu Kingereza.
 
Kenya wasipofukuza wasomali wote watawatesa sana, fukuza wote hata kama alikuja mwaka 1980. Hawa wafia dini watawatesa sana wasipofanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…