Humu majeruhi ni wengi .
Ukitaja tu sehemu kesho mbali washatia sumu unaamka mambo yameharibika.
Endeleeni tu kulalamika mimi napiga pesa.
Sehemu yenyewe mtandao ni mgumu sana wa simu kln hawa jamaa ukitaja tu kesho ni mbali ...
Endeleeni kulalamika najaza sasa semi ya saba