Mliowahi kuishi vijijini

Viti navichukia sana vilikuwa vinaniangusha kwa nyuma.nikawa baviogopa.
 
Mleta uzi ulivyosema cha mababu zetu wa zamani mie nikadhani miaka ya 1940 kushuka chini, mbona mzigo mpaka sasa upo hata kwa watu wa town vipo sema hii miaka ya 2000 na 90 mwishoni ndio vimepotea kutokana na mchina kuturahishia kazi kwa kuleta kila kitu disposable
 

Pole mkuu, hicho ilikuwa ukikalia ni lazima uwe na nidhamu, unless kila mara utakuwa unaanguka nacho.

Tena bahati mbaya ukianguka nacho kwa nyuma kinaweza kukufunika
 
Kwetu vinaitwa "mpando" sijui kwa kiswahili
 

dingi hicho kiti anacho mpaka leo ila akikaa lazma atafute sapoti ya ukuta ndipo aegamie.
 
home kimebak kimoja sema kimezeeka sana.....kina kama 15yrs had ssa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…