Hiki Kiti Kilikuwa Kinatumiwa Sana Na Mababu Wa Zamani Sana Ambao Viuno Vyao Vilikuwa Vimekazwa Sana Kwa Shughuri Za Kilimo Hivyo Kiti Cha Namna Hiyo Kilitumika Kunyonyea Mgongo Baada Ya Shughuri Za Shamba Je Kilikuwa Kinaitwaje Mie Sina Kumbukumbu Na Jina Lake
hv vpo hadi leo uko kwenu?
mpando ( ikikota kya mpando-kinyakyusa)
Kiti cha uvivu.......siju kwanini tulikiita hivyo???
Hiki Kiti Kilikuwa Kinatumiwa Sana Na Mababu Wa Zamani Sana Ambao Viuno Vyao Vilikuwa Vimekazwa Sana Kwa Shughuri Za Kilimo Hivyo Kiti Cha Namna Hiyo Kilitumika Kunyonyea Mgongo Baada Ya Shughuri Za Shamba Je Kilikuwa Kinaitwaje Mie Sina Kumbukumbu Na Jina Lake
Cha zamani sana...nilipewa urithi na marehemu babu mzaa bibi yake mama.......cha miaka hiyo lakini?
baadhi ya nyumba
Nmependa jibu lako.