NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,389
- 1,441
Hii criteria ya graduate wa LLB kusoma law school ndiyo awe wakili si ilishafutwa?Habari wana JF,
Kwakweli nimekwama Law School mwaka wa nne huu sasa unaenda. Nilipambana sana nisishikwe hata somo moja. Bahati haikua upande wangu nikakamatwa somo moja. Mpaka leo linanitesa. Napata michongo ya kazi ila naambiwa kama sina muhuri haitowezekana.
Wakuu mliomaliza aidha first seat au kwa kuchomoa kimeo mlifanyaje wenzangu? Mpaka sasa nimeshachoma takribani milioni 2.5 safari za kwenda na kurudi kufanya supplimentary. Hii ni zaidi ya ada niliyolipa wakati huo. Natoboaje wakuu?
Mwenye mchongo unaoweza kunisaidia nisikae mpweke wa ajira naomba anisaidie. Tuwasiliane kupitia email moderncentury5@gmail.com
Kwani tatizo ni nini hasa!??Bahati mbaya sana mimi ni wale wa longi kabla ya kuanzishwa kwa LST!, ila hii issue ya LST soon inakwenda ukingoni, kila LL.B recipient atamaliza na kupewa muhuri na practicing certificate!.
P
zamani ili mtu kusoma law,ilikuwa lazima uwe kipanga,sasa kusoma law ni pesa yako tuu, matokeo yake,vilaza wamevamia na wengi huishia LSTKwani tatizo ni nini hasa!??
Umebeba tafsiri ya moja kwa moja. Ila sio mbaya. Hata huo nao ni ushauri.kama ni suala la bahati acha shule ,endelea na mambo mengine kwakuwa tayari bahati haipo upande wako.
Mbona hili swali hajibu? Kashaulizwa tenaUlikua cohort ya ngapi
Umekamatwa somo gani?
Tuanzie hapo
So ina maana mtoa mada ni kilaza Pascal ?zamani ili mtu kusoma law,ilikuwa lazima uwe kipanga,sasa kusoma law ni pesa yako tuu, matokeo yake,vilaza wamevamia na wengi huishia LST
P
Law of tortKiingereza kinapanda?Umeshikwa kwenye nini?
Kama una namba ya simu ya profesa wa jalalani mpigie akueleza vizuri kuhusu muziki wa LSTHabari wana JF,