Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Unajua umri wake?Shida ya kusoma uzeeni ndiyo hiyo
Huyo ni dingiUnajua umri wake?
Umejuaje,ulishamuona?Huyo ni dingi
Ah wapi kaka. Mimi kijana young sana bado. Nimeingia law school na miaka 26 tuShida ya kusoma uzeeni ndiyo hiyo
Amina Mama. Imani ndo tumaini pekee lililobaki kwangu.Utamaliza tu usijali
Pascal Mayalla mshauri huyu jamaa namna ya kutoboa huko law schoolHabari wana JF,
Kwakweli nimekwama Law School mwaka wa nne huu sasa unaenda. Nilipambana sana nisishikwe hata somo moja. Bahati haikua upande wangu nikakamatwa somo moja. Mpaka leo linanitesa. Napata michongo ya kazi ila naambiwa kama sina muhuri haitowezekana.
Wakuu mliomaliza aidha first seat au kwa kuchomoa kimeo mlifanyaje wenzangu? Mpaka sasa nimeshachoma takribani milioni 2.5 safari za kwenda na kurudi kufanya supplimentary. Hii ni zaidi ya ada niliyolipa wakati huo. Natoboaje wakuu?
Mwenye mchongo unaoweza kunisaidia nisikae mpweke wa ajira naomba anisaidie. Tuwasiliane kupitia email moderncentury5@gmail.com
Pascal nakuomba msaidie huyo kijana,kwani we ulipitaje huko?, Bilashaka una uzoefu.Pascal Mayalla mshauri huyu jamaa namna ya kutoboa huko law school
Kula vizuri Fanya mazoezi no sex utatoboaHabari wana JF,
Kwakweli nimekwama Law School mwaka wa nne huu sasa unaenda. Nilipambana sana nisishikwe hata somo moja. Bahati haikua upande wangu nikakamatwa somo moja. Mpaka leo linanitesa. Napata michongo ya kazi ila naambiwa kama sina muhuri haitowezekana.
Wakuu mliomaliza aidha first seat au kwa kuchomoa kimeo mlifanyaje wenzangu? Mpaka sasa nimeshachoma takribani milioni 2.5 safari za kwenda na kurudi kufanya supplimentary. Hii ni zaidi ya ada niliyolipa wakati huo. Natoboaje wakuu?
Mwenye mchongo unaoweza kunisaidia nisikae mpweke wa ajira naomba anisaidie. Tuwasiliane kupitia email moderncentury5@gmail.com
kama ni suala la bahati acha shule ,endelea na mambo mengine kwakuwa tayari bahati haipo upande wako.Nilipambana sana nisishikwe hata somo moja. Bahati haikua upande wangu nikakamatwa somo moja.
Pascal Mayalla mshauri huyu jamaa namna ya kutoboa huko law school
Bahati mbaya sana mimi ni wale wa longi kabla ya kuanzishwa kwa LST!, ila hii issue ya LST soon inakwenda ukingoni, kila LL.B recipient atamaliza na kupewa muhuri na practicing certificate!.Pascal nakuomba msaidie huyo kijana,kwani we ulipitaje huko?, Bilashaka una uzoefu.