Mliosoma UGANDA naombeni msaada

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,892
Reaction score
5,084
Habari za humu wakuu

Aisee nahtaji kwenda kusoma nchini Uganda degree yangu ya sports science and physical education sababu za kusoma huko Bongo Hanna hiyo course

Ila naomba mnisaidie naewzaje kufanya admission na kupata admission letter bila mm mwenywe physical kufika huko

Pia vipi kuhusu huko kuna ulazima wa kuwa na passport au hata kitambulisho cha Taifa kinatosha tu kupata study pass ya kusoma huko


Ahsante kwa majibu yenu mazuri
 
Kuhusu hiyo course siifahamu...ila ku apply kwa makerere wanataka ufike au uwe na mtu akufanyie..kingine lazima ubadilishe matokeo yako ya tz ,kwa bodi inaitwa uneb(necta)..passport ni mojawapo ya kiambatanisho .
 
BED PESS ipo UDSM Uganda unapoteza muda tu!!!
 
BED PESS ipo UDSM Uganda unapoteza muda tu!!!
Hapana mkuu nahtaji kujua na Ku learn new culture na lugha pia
UDSm sana BA in physical education sports and culture
But mm nahtaji kusoma BA in sport science
Ila ahsante kwa maoni yako
 
Passport ni lazima mkuu, kitambulisho cha taifa cha tanzania sijui kama kinaweza kutumika mpakan kama passport,
Ukianza kusoma utajatafuta kibali kingine, student passport,
Nenda ukafungue mamcho kampala, napamiss sana
 
Akili hiz bora ukaresit kwanza
Ww unazani kila anayeenda kusoma Uganda alifail boss? Nilifauli vizuri na dvsn 2:10 shida ni hiyo course bongo hamna so ndio mana nahtaji kuisomea Uganda
 
Passport ni lazima mkuu, kitambulisho cha taifa cha tanzania sijui kama kinaweza kutumika mpakan kama passport,
Ukianza kusoma utajatafuta kibali kingine, student passport,
Nenda ukafungue mamcho kampala, napamiss sana
Ahsante mkuu kwa mawazo yako mwakani ntakuwepo huko makerere au kyambogo university
 
Ww unazani kila anayeenda kusoma Uganda alifail boss? Nilifauli vizuri na dvsn 2:10 shida ni hiyo course bongo hamna so ndio mana nahtaji kuisomea Uganda
UDSM wana hiyo kozi inaitwa "Physical Education and Sports Sciences, PESS" labda kama ufaulu wako wa kuunga-unga ndio ukimbilie huko Uganda. Ambako degree ni za kuokota tu
 
UDSM wana hiyo kozi inaitwa "Physical Education and Sports Sciences, PESS" labda kama ufaulu wako wa kuunga-unga ndio ukimbilie huko Uganda. Ambako degree ni za kuokota tu
Matokeo yangu mazuri tu ila nahtaji kujifunza new culture and language

Maisha yangu yote nimesomea bingo so ni vema nkaangazia majirani zwtu kwa UDsm ni chuo kidogo sana ukilinganiasha na makerere au Nairobi
Ila ahsante kwa ushauri wako
 
Unajua unachokisema? Ulianza kwa kusema kozi hii haipo bongo. Sasa wasema chuo kidogo. Haya kitafute hicho chuo kikubwa.
Matokeo yangu mazuri tu ila nahtaji kujifunza new culture and language

Maisha yangu yote nimesomea bingo so ni vema nkaangazia majirani zwtu kwa UDsm ni chuo kidogo sana ukilinganiasha na makerere au Nairobi
Ila ahsante kwa ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…