thefreedot
Senior Member
- May 21, 2015
- 135
- 25
Google recho au ingia youtube mkuu utamkuta ili uelewa mkuu.ndo akina nani hawa sie wengine wageni
we jamaa bhana recho wapo wangapi????? sema recho naniGoogle recho au ingia youtube mkuu utamkuta ili uelewa mkuu.
Mkuu kama upo mafinga we nenda tu utajua huko huko! Siku hizi kuna wasanii wakali sana wanaochipukia na hawana majina na show zao huwa ni za kufa mtu coz hawana maringo!we jamaa bhana recho wapo wangapi????? sema recho nani
Recho wa bongo wanaemfanisha sauti na rayc, majibu ya google ya recho nimekuwekea kabisa kwenye screenshot hapo mkuuwe jamaa bhana recho wapo wangapi????? sema recho nani