Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,399
- 2,040
Weka kumbukumbu kwa kuandika, kila unachopata na unachotoa. Jipe muda halafu upitie na kuangalia wapi ni chanzo kizuri cha mapato na wapi ni kwenye matumizi makubwa au yasiyo ya lazima. Jirekebishe kutokana na uliloliona, jitahidi kuweka akiba na kuwekeza zaidi.Nawasalimu
Nina mambo mawili ningelipenda kupokea ushauri kutoka kwenu wana jamvi.
Binafsi napenda kujitolea kwa ajili ya wengine, kwa vyovyote vile na endapo sitakua na kitu nitamuombea kimoyoni moyoni Mungu akampe heri kile na kule anapoenda kukamilisha.
Pamoja na msaada wangu na kujitoa kwa ajili ya wengine ninapokwama, msaada wa karibu kwangu unakua mzito sana kupewa. Je, hili suala hat ninyi hua mnakuta na nalo?
Mara nyingi fedha yangu hupotea katika matumizi nisiyoyaelewa; mambo yangu hayakamiliki. Nafanya saving, nimejiingiza ktk vicoba 'ninafanya biashara vyote navyofanya, am nothing.
Wakati wanajamvi mnapitia situation kama hizi mlipitaje na kukabiliana na challenges?
Napitia comment zenu, ahsanteni.
Kumbuka kumtolea Mungu pia omba kuvunja roho wa chumaulete anafanya kazi kwa njia za ajabu kama ulivyotaja. Vunja hii roho.Nawasalimu
Nina mambo mawili ningelipenda kupokea ushauri kutoka kwenu wana jamvi.
Binafsi napenda kujitolea kwa ajili ya wengine, kwa vyovyote vile na endapo sitakua na kitu nitamuombea kimoyoni moyoni Mungu akampe heri kile na kule anapoenda kukamilisha.
Pamoja na msaada wangu na kujitoa kwa ajili ya wengine ninapokwama, msaada wa karibu kwangu unakua mzito sana kupewa. Je, hili suala hat ninyi hua mnakuta na nalo?
Mara nyingi fedha yangu hupotea katika matumizi nisiyoyaelewa; mambo yangu hayakamiliki. Nafanya saving, nimejiingiza ktk vicoba 'ninafanya biashara vyote navyofanya, am nothing.
Wakati wanajamvi mnapitia situation kama hizi mlipitaje na kukabiliana na challenges?
Napitia comment zenu, ahsanteni.
mbinu zipi nitumie kukabiliana na hayo.Badilika hivo ulivyo hupaswi kuwa hivo...
Roho mbaya nayo ni kipaji ujue. Mimi kuna mama mmoja alinifanyia ukatili sana ukatili sana. Yaani ni unyama na ilikuwa mwaka jana kipindi cha ramadhan kama hiki.hapo kwenye kijitolea kwa wengine wakat wewe hupat msaada toka kwao ndio kosa lilipo
my friend ukitaka kufanikiwa kua na roho mbaya tu mjali anaekujal asiekujal tupa mbali.
Mama Wawili!!Roho mbaya nayo ni kipaji ujue. Mimi kuna mama mmoja alinifanyia ukatili sana ukatili sana. Yaani ni unyama na ilikuwa mwaka jana kipindi cha ramadhan kama hiki.
Mwaka huu kafiwa na mume wake nikajikuta tu namsaidia na nikajikuta tu kiasi fulani cha akiba yangu nimempa halafu nilivyokuwa kenge ile akiba nikampa nusu na nusu nikabaki nayo.
Baadae sana nikasema mimi si ndo nilisema huyu mtu hatogusa sent 5 yangu tena?
mama wawili
Inabidi nirekebishe ni mama wa watoto wawili wa kiume [emoji4]Mama Wawili!!
Fanya Hivyo Maana Unaweza Kueleweka VinginevyoInabidi nirekebishe ni mama wa watoto wawili wa kiume [emoji4]
mama wawili
Roho nzuri huwa inalipa, siyo lazima leo! Saidia unapoweza. akili isikupeleke kwenye ushirikina, hapo utakuwa umepotea kimoja. Tulia fikiria matumizi yako yasiyofaa, tunza kumbukumbu vizuri, ongeza bidii, kila la heri! Miungu yupo usimsahau asilani.Nawasalimu
Nina mambo mawili ningelipenda kupokea ushauri kutoka kwenu wana jamvi.
Binafsi napenda kujitolea kwa ajili ya wengine, kwa vyovyote vile na endapo sitakua na kitu nitamuombea kimoyoni moyoni Mungu akampe heri kile na kule anapoenda kukamilisha.
Pamoja na msaada wangu na kujitoa kwa ajili ya wengine ninapokwama, msaada wa karibu kwangu unakua mzito sana kupewa. Je, hili suala hat ninyi hua mnakuta na nalo?
Mara nyingi fedha yangu hupotea katika matumizi nisiyoyaelewa; mambo yangu hayakamiliki. Nafanya saving, nimejiingiza ktk vicoba 'ninafanya biashara vyote navyofanya, am nothing.
Wakati wanajamvi mnapitia situation kama hizi mlipitaje na kukabiliana na challenges?
Napitia comment zenu, ahsanteni.
Hata mimi napitia hali hiyo Ila bibi yangu alisema usichoke kujitoa kwaajili ya wengineNawasalimu
Nina mambo mawili ningelipenda kupokea ushauri kutoka kwenu wana jamvi.
Binafsi napenda kujitolea kwa ajili ya wengine, kwa vyovyote vile na endapo sitakua na kitu nitamuombea kimoyoni moyoni Mungu akampe heri kile na kule anapoenda kukamilisha.
Pamoja na msaada wangu na kujitoa kwa ajili ya wengine ninapokwama, msaada wa karibu kwangu unakua mzito sana kupewa. Je, hili suala hat ninyi hua mnakuta na nalo?
Mara nyingi fedha yangu hupotea katika matumizi nisiyoyaelewa; mambo yangu hayakamiliki. Nafanya saving, nimejiingiza ktk vicoba 'ninafanya biashara vyote navyofanya, am nothing.
Wakati wanajamvi mnapitia situation kama hizi mlipitaje na kukabiliana na challenges?
Napitia comment zenu, ahsanteni.
mbinu zipi nitumie kukabiliana na hayo.
jitahid kuwa na moyo mgumu