GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,114
Huyo mzee anazeeka vibaya, ulimlipia nauli lakin?
Kama umeona maneno ya huyo babu ni fumbo basi una uwezo mdogo sana wa kuelewa mambo. Yeye hapo ameeleza mambo waziwazi, sasa wewe unaloona hapo kuwa fumbo ni nini? Nini hapo kinachohitaji kufafanuliwa kwa mtu mwenye akili?
Kwa uwezo wako wa kuchambua mambo ambao umeshathibitika ndani ya post zako GENTAMYCINE ulipaswa kuiripoti hii kama habari ilivyo, sio kama fumbo. UKisema ni fumbo unafanya watu tunaokufahamu tusikuelewe.Na ndiyo maana kwa ' Upopoma ' wangu ' Ulionitukuka ' nimeona niwaulizeni nyie ' Werevu ' Mkuu na hata Wewe ukiwemo je, hapo tatizo liko wapi? Kwani Sisi ' Mapopoma ' hatutakiwi Kupewa Ufafanuzi na Watu ' Werevu ' kama Wewe? Kinachonisikitisha tu ni kwamba pamoja na Uelewa wako ( Uwerevu wako ) lakini ndani ya hizo Kauli za huyo Mzee umeshindwa Kung'amua / Kuelewa Fumbo hapo na unanishangaa tena na Mimi.
Cha Kushangaza Yeye ndiyo alinilipia Mkuu.
AmechemkaKwa uwezo wako wa kuchambua mambo ambao umeshathibitika ndani ya post zako GENTAMYCINE ulipaswa kuiripoti hii kama habari ilivyo, sio kama fumbo. UKisema ni fumbo unafanya watu tunaokufahamu tusikuelewe.
Mkuu GENTAMYCINE, tatizo kubwa la watu wanaofikiri mbali kama wewe ni kwamba hata mkiambiwa kitu rahisi sana, mnakwenda mbali kuliko kile alichokusudia yule anaekuambia hicho kitu. Wakati nikiwa shule tunachambua vitabu vya kina Shaaban Robert, Kezilahabi, Chinua Achebe, nk, nilikuwa najiuliza, hivi hawa jamaa walioandika hivi vitabu waliandika kwa maana ya haya mawazo tunayochambua au wao walikuwa wanaandika stori rahisi tu ila sisi ndio tunachambua kuliko hata mawazo yao yalikofika? Kuna wakati hata nilihisi tukiwapa uchambuzi tuliofanya hata wao wanaweza wasielewe!Na ndiyo maana kwa ' Upopoma ' wangu ' Ulionitukuka ' nimeona niwaulizeni nyie ' Werevu ' Mkuu na hata Wewe ukiwemo je, hapo tatizo liko wapi? Kwani Sisi ' Mapopoma ' hatutakiwi Kupewa Ufafanuzi na Watu ' Werevu ' kama Wewe? Kinachonisikitisha tu ni kwamba pamoja na Uelewa wako ( Uwerevu wako ) lakini ndani ya hizo Kauli za huyo Mzee umeshindwa Kung'amua / Kuelewa Fumbo hapo na unanishangaa tena na Mimi.
Actually everything is so obvious, doesn't need a genius to understand!!Kama umeona maneno ya huyo babu ni fumbo basi una uwezo mdogo sana wa kuelewa mambo. Yeye hapo ameeleza mambo waziwazi, sasa wewe unaloona hapo kuwa fumbo ni nini? Nini hapo kinachohitaji kufafanuliwa kwa mtu mwenye akili?